GE2025 Paul Makonda achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,230
Haya sasa kumeanza kuchangamka sasa! Makonda huyooo!, huku ni kimzoom kwa mbali Mrisho Gambo
=======================
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda, amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Umemwambia lakini kuhusu ushiriki wa Chadema? Mwambie chadema wanalitaka Hilo jimbo pia
 
Haya sasa kumeanza kuchangamka sasa! Makonda huyooo!, huku ni kimzoom kwa mbali Mrisho Gambo
=======================
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda, amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Patachimbika hapo Ccm Arusha Jiji...

ChoiceVariable Tui MamaSamia2025 Pascal Mayalla
 
Watu wa Arusha kama walimpa ubunge Makongoro Nyerere mzanaki, hawawez kumnyima ubunge Daud Albert Bashite a.k.a Paul Christian Makonda Msukuma
Wanaangalia anae endana na njia zao, makonda aliwasikiliza akaelewa wanachotaka

Is why aliwawezea
 
Back
Top Bottom