Paul Krugman wins Nobel economics prize

Mhhh!This is new.
I am probably the one out of touch but,will you happen to have any scholarly paper or article without references that you can show us?


Kuna tofauti kati ya scholar na mbunifu (INNOVATOR) SORRY!!! Mimi naongelea Mbunifu.

To cut the story short ni kuwa Scholary paper in paper unayoionyesha ndani ya vyumba vya madarasa au kwa wasomi wenzio hiyo inahitaji reference lakini waanzilishaji wa vitu vipya na wabunifu hufanya vitu vyao nje ya madarasa au kuta nne za conference centres .Mbunifu huonyesha uwezo wake wa mapya kwenye maisha halisi kwa kutoa ufumbuzi mpya halisi wa tatizo na siyo theories zenye reference nyingi za kwenye makaratasi.


Ninachopigia kelele ni wasomi waanze kuondokana na culture ya kudhani kazi kubwa ya msomi (African Scholar) ni kutengeneza scholary paper kwa ajili ya madarasa na seminar au warsha bali waende nje ya madarasa wawe innovators wa vitu na mambo mapya yawezayo kuziondoa nchi kutoka kwenye lindi la teknolojia duni na maendeleo duni.
 
Krugman deserves the prize. I salute him. A sharp and critical mind in economics.
 
Back
Top Bottom