Mimi niko hapa kigali niko shft ya usiku,soma mada uielewe,unaweza kujiona mahali tumefika Watanzania,tunahitaji kuonewa huruma,either tumwombe Mh.Kagame aje atutawale kwa mwaka mmoja turudishe japo heshima tuliyokuwa tumejijengea miaka ya nyuma.Ukikosa usingizi hii ndio Dawa!?
Kwa muda nilioishi hapa Rwanda,ninapenda kuwadhibitishia Watanzania wenzangu kwamba Mh.Paul Kagame ni kiongozi bora kabisa barani Afrika.
Ninazo sababu za kudhibitisha ubora wa kiongozi huyu;Kwanza kabisa ameijenga jamii ya wanyarwanda kuwa wamoja na wenye kuipenda nchi yao ama niseme wazalendo wa kweli.Maana kutoka kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe mpaka watu kufikia mahali wakaelewana sio kazi ya mchezo kama wengine mnavyoweza kufikiri,ni kazi ya ziada ambayo anapaswa kupongezwa na Dunia nzima kwa jambo hilo.
Kwa upande wa Uongozi;Hapa naona ameitendea haki hii nafasi,na hakika kwa mtu yeyote ambae ameishi hapa Rwanda atakubaliana na mimi.Wanyarwanda sio watu wa mchezo kama hapa Tanzania,wanahitaji strong leader,kama mnafikiri natania mjaribuni Rais wenu,miezi 3 tu anakimbia nchi yeye mwenyewe.
Kwa upande wa maendeleo,hii nchi inapiga hatua sana kushinda Tanzania yenye rasilimali nyingi na vyanzo vingi vya mapato ukilinganisha na Rwanda ambayo yenyewe inategemea kukusanya kodi na kuijenga nchi yao,hamna vyanzo vingine vya mapato lakini ukija hapa Rwanda utashangaa kila kitu kinaenda sawa.Pesa yao iko vizuri ukilinganisha na ya kwetu,Dola moja ya marekani ni sawa na francs690,wakati Tz Dola moja ni sawa na tsh.1630,kwahiyo utaona hata kiuchumi wenzetu wapo juu,sisi mbwembwe nyingi sana siasa sana ,mara wengine wajisifu wachumi daraja la kwanza,yaani hapa kwetu ni shida tupu.Kwa upande wa utawala bora;Hapo napo nampa sifa,hakuna kiongozi yeyote aliyejuu ya sheria.Nitawapa mfano kidogo,hapa Tz mtu akiwa waziri atapewa ulinzi msaa 24,nyumba bure,chakula bure na watoto wanasomeshwa na serikali,lakini Rwanda mambo hayako hivyo.Hapa utaishi kwenye nyumba yako,hakuna nyumba za serikali,ulinzi utapewa kwenye masaa ya kazi tu,baada ya kazi utajirinda wewe mwenyewe na gari ya serikali huruhusiwi kuitumia baada ya masaa ya kazi,kazi kama inaisha saa kumi basi,basi dereva anairudisha yadi ya serikali kwenda kuipaki mpaka kesho wakati wa kazi.Jilinganisheni na viongozi wenu muone kama mko sahihi na matumizi ya vyombo vya serikali.Viongozi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kuvunja sheria makusudi,na kwa sababu wao ndio wako juu ya sheria hamna chochote ambacho wanaweza kufanywa au kuadhibiwa;mfano mzuri,Mh,Andrew Chenge alimgonga mtu,kilichoendelea mahakamani mimi sijui,Mh.Juma Kapuya alimbaka mtoto wa shule,hata polisi wameogopa kumkamata,Amethibitisha watoto wake wanauza dawa za kulevya kinachoendelea anajua Rais,polisi wameua mwandishi wa habari pale Iringa,Arusha na Morogoro wauaji wanadunda mitaani.Sheria zipo lakini wanaovunja wako juu yazo.Mbaya zaidi kuliko zote yule ambaye alipaswa kuzisimamia hizo sheria ametangaza kwa watu wake UNYONGE BASI,hakuna sheria ukipigwa na wewe piga.Kwa mtaji huo,je,ni nani anaweza kumfikia Rais Paul Kagame kwa utawala bora wenye kuheshimu sheria walizojiwekea?Mwisho namalizia kwa kusema Mh.PAUL KAGAME NI KIONGOZI BORA BARANI AFRICA NA HAKUNA MFANO WAKE.
Hana amani rohoni mwake....anajua wakati wowote na SAA yoyote roho itauacha mwili.
JWTZ
Ndugu yangu usilolijua ni kama usiku wa giza kwa hiyo ni bora tu unyamaze, wewe umefika Kigali ndiyo ukaona kama umeimaliza Rwanda nzima.Ulishawahi kufika mikoani ukajionea umasikini wa Wanyarwanda wanaoishi kwa kulima viazi na ndizi milimani?Mimi kwetu ni wilaya ya Ngara huku tumepakana na mkoa wao wa Kibungo nakuambia huwa Wanyarwanda wanakuja kuomba vibarua kwetu vya kulima na tunawatumia kufuga mifugo yetu, pia nimebahatika kufika mikoa ya Cyangugu na Butare mwaka jana watu ni masikini sana tena hata hayo maendeleo unayoyaona ni madini Kagame aliyokuwa anayachota DRC kwa taarifa yako. Pole sana umedandia basi kwa mbele.Kwa muda nilioishi hapa Rwanda,ninapenda kuwadhibitishia Watanzania wenzangu kwamba Mh.Paul Kagame ni kiongozi bora kabisa barani Afrika.
Ninazo sababu za kudhibitisha ubora wa kiongozi huyu;Kwanza kabisa ameijenga jamii ya wanyarwanda kuwa wamoja na wenye kuipenda nchi yao ama niseme wazalendo wa kweli.Maana kutoka kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe mpaka watu kufikia mahali wakaelewana sio kazi ya mchezo kama wengine mnavyoweza kufikiri,ni kazi ya ziada ambayo anapaswa kupongezwa na Dunia nzima kwa jambo hilo.
Kwa upande wa Uongozi;Hapa naona ameitendea haki hii nafasi,na hakika kwa mtu yeyote ambae ameishi hapa Rwanda atakubaliana na mimi.Wanyarwanda sio watu wa mchezo kama hapa Tanzania,wanahitaji strong leader,kama mnafikiri natania mjaribuni Rais wenu,miezi 3 tu anakimbia nchi yeye mwenyewe.
Kwa upande wa maendeleo,hii nchi inapiga hatua sana kushinda Tanzania yenye rasilimali nyingi na vyanzo vingi vya mapato ukilinganisha na Rwanda ambayo yenyewe inategemea kukusanya kodi na kuijenga nchi yao,hamna vyanzo vingine vya mapato lakini ukija hapa Rwanda utashangaa kila kitu kinaenda sawa.Pesa yao iko vizuri ukilinganisha na ya kwetu,Dola moja ya marekani ni sawa na francs690,wakati Tz Dola moja ni sawa na tsh.1630,kwahiyo utaona hata kiuchumi wenzetu wapo juu,sisi mbwembwe nyingi sana siasa sana ,mara wengine wajisifu wachumi daraja la kwanza,yaani hapa kwetu ni shida tupu.Kwa upande wa utawala bora;Hapo napo nampa sifa,hakuna kiongozi yeyote aliyejuu ya sheria.Nitawapa mfano kidogo,hapa Tz mtu akiwa waziri atapewa ulinzi msaa 24,nyumba bure,chakula bure na watoto wanasomeshwa na serikali,lakini Rwanda mambo hayako hivyo.Hapa utaishi kwenye nyumba yako,hakuna nyumba za serikali,ulinzi utapewa kwenye masaa ya kazi tu,baada ya kazi utajirinda wewe mwenyewe na gari ya serikali huruhusiwi kuitumia baada ya masaa ya kazi,kazi kama inaisha saa kumi basi,basi dereva anairudisha yadi ya serikali kwenda kuipaki mpaka kesho wakati wa kazi.Jilinganisheni na viongozi wenu muone kama mko sahihi na matumizi ya vyombo vya serikali.Viongozi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kuvunja sheria makusudi,na kwa sababu wao ndio wako juu ya sheria hamna chochote ambacho wanaweza kufanywa au kuadhibiwa;mfano mzuri,Mh,Andrew Chenge alimgonga mtu,kilichoendelea mahakamani mimi sijui,Mh.Juma Kapuya alimbaka mtoto wa shule,hata polisi wameogopa kumkamata,Amethibitisha watoto wake wanauza dawa za kulevya kinachoendelea anajua Rais,polisi wameua mwandishi wa habari pale Iringa,Arusha na Morogoro wauaji wanadunda mitaani.Sheria zipo lakini wanaovunja wako juu yazo.Mbaya zaidi kuliko zote yule ambaye alipaswa kuzisimamia hizo sheria ametangaza kwa watu wake UNYONGE BASI,hakuna sheria ukipigwa na wewe piga.Kwa mtaji huo,je,ni nani anaweza kumfikia Rais Paul Kagame kwa utawala bora wenye kuheshimu sheria walizojiwekea?Mwisho namalizia kwa kusema Mh.PAUL KAGAME NI KIONGOZI BORA BARANI AFRICA NA HAKUNA MFANO WAKE.
Kwa muda nilioishi hapa Rwanda,ninapenda kuwadhibitishia Watanzania wenzangu kwamba Mh.Paul Kagame ni kiongozi bora kabisa barani Afrika.
Ninazo sababu za kudhibitisha ubora wa kiongozi huyu;Kwanza kabisa ameijenga jamii ya wanyarwanda kuwa wamoja na wenye kuipenda nchi yao ama niseme wazalendo wa kweli.Maana kutoka kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe mpaka watu kufikia mahali wakaelewana sio kazi ya mchezo kama wengine mnavyoweza kufikiri,ni kazi ya ziada ambayo anapaswa kupongezwa na Dunia nzima kwa jambo hilo.
Kwa upande wa Uongozi;Hapa naona ameitendea haki hii nafasi,na hakika kwa mtu yeyote ambae ameishi hapa Rwanda atakubaliana na mimi.Wanyarwanda sio watu wa mchezo kama hapa Tanzania,wanahitaji strong leader,kama mnafikiri natania mjaribuni Rais wenu,miezi 3 tu anakimbia nchi yeye mwenyewe.
Kwa upande wa maendeleo,hii nchi inapiga hatua sana kushinda Tanzania yenye rasilimali nyingi na vyanzo vingi vya mapato ukilinganisha na Rwanda ambayo yenyewe inategemea kukusanya kodi na kuijenga nchi yao,hamna vyanzo vingine vya mapato lakini ukija hapa Rwanda utashangaa kila kitu kinaenda sawa.Pesa yao iko vizuri ukilinganisha na ya kwetu,Dola moja ya marekani ni sawa na francs690,wakati Tz Dola moja ni sawa na tsh.1630,kwahiyo utaona hata kiuchumi wenzetu wapo juu,sisi mbwembwe nyingi sana siasa sana ,mara wengine wajisifu wachumi daraja la kwanza,yaani hapa kwetu ni shida tupu.Kwa upande wa utawala bora;Hapo napo nampa sifa,hakuna kiongozi yeyote aliyejuu ya sheria.Nitawapa mfano kidogo,hapa Tz mtu akiwa waziri atapewa ulinzi msaa 24,nyumba bure,chakula bure na watoto wanasomeshwa na serikali,lakini Rwanda mambo hayako hivyo.Hapa utaishi kwenye nyumba yako,hakuna nyumba za serikali,ulinzi utapewa kwenye masaa ya kazi tu,baada ya kazi utajirinda wewe mwenyewe na gari ya serikali huruhusiwi kuitumia baada ya masaa ya kazi,kazi kama inaisha saa kumi basi,basi dereva anairudisha yadi ya serikali kwenda kuipaki mpaka kesho wakati wa kazi.Jilinganisheni na viongozi wenu muone kama mko sahihi na matumizi ya vyombo vya serikali.Viongozi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kuvunja sheria makusudi,na kwa sababu wao ndio wako juu ya sheria hamna chochote ambacho wanaweza kufanywa au kuadhibiwa;mfano mzuri,Mh,Andrew Chenge alimgonga mtu,kilichoendelea mahakamani mimi sijui,Mh.Juma Kapuya alimbaka mtoto wa shule,hata polisi wameogopa kumkamata,Amethibitisha watoto wake wanauza dawa za kulevya kinachoendelea anajua Rais,polisi wameua mwandishi wa habari pale Iringa,Arusha na Morogoro wauaji wanadunda mitaani.Sheria zipo lakini wanaovunja wako juu yazo.Mbaya zaidi kuliko zote yule ambaye alipaswa kuzisimamia hizo sheria ametangaza kwa watu wake UNYONGE BASI,hakuna sheria ukipigwa na wewe piga.Kwa mtaji huo,je,ni nani anaweza kumfikia Rais Paul Kagame kwa utawala bora wenye kuheshimu sheria walizojiwekea?Mwisho namalizia kwa kusema Mh.PAUL KAGAME NI KIONGOZI BORA BARANI AFRICA NA HAKUNA MFANO WAKE.
Bangi ni zao bora sanaKwa muda nilioishi hapa Rwanda,ninapenda kuwadhibitishia Watanzania wenzangu kwamba Mh.Paul Kagame ni kiongozi bora kabisa barani Afrika.