Paul Kagame drives Moroco King to airport!!

Paul Kagame drives Moroco King to airport!!

Ngosha yuko vizuri barabarani. Alianza kumiliki gari yake ya kwanza mwaka 1992 (miaka 24 iliyopita).
 
Huyo jamaa huwa namkubali sana... Kaonesha Shukrani zake za Dhati kwa Mtu aliyemjali...
 
Huyu Paul atakuwa mwanajeshi haswaaa. Yaani usikute kila kifaa cha moto anajua kukiendesha. Navuta picha ya wale makomandoo ambao anaanza kutoroka kwa miguu, mbele ya safari anapora bike na kusonga mbele, baadaye anachukua gari dogo, halafu tena lori, anachukua boti anachanja maji na kuibukia ka airport fulani anachukua chopa huyooo, ..............
 
Tinga.png
 
Angefanya hivo wa hapa kwetu ungesikia maneno yake
 
Kagame is a genius!
Kitu kidogo kama hiki kinaacha alama kubwa sana kwenye akili ya Mgeni wake..

Huyu jamaa ni "total package".. Udikteta anajua, diplomasia anaijua, kutafuta kiki anajua, na akiamua kukuteka akili pia anajua!!
Nadhani tunafahamu jinsi alivyofanikiwa kumteka akili mtu fulani..
Angefanya JPM watu mngeongea hadi mkauke Koo. Kuna utumwa wa fikra vichwani mwa waTz walio wengi wanaamini kila kinachofanyika nje ni bora kuliko wafanyavyo wao. Naamini ungekua unaponda hapa kama angefanya JPM
 
Back
Top Bottom