Paul Kagame drives Moroco King to airport!!

Paul Kagame drives Moroco King to airport!!

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,654
Reaction score
18,805
14732148_10153793179022282_2287797805899325170_n.jpg
 
Kagame is a genius!
Kitu kidogo kama hiki kinaacha alama kubwa sana kwenye akili ya Mgeni wake..

Huyu jamaa ni "total package".. Udikteta anajua, diplomasia anaijua, kutafuta kiki anajua, na akiamua kukuteka akili pia anajua!!
Nadhani tunafahamu jinsi alivyofanikiwa kumteka akili mtu fulani..
 
Hivi ka Rwanda km za mraba ni sawa na mkoa gani TZ
Mtaendelea kusoma kilomita za mraba nyingi tu, kwani zile nchi wafadhili/wahisani wa Tanzania nchi zao nyingi zina ukubwa gani mpaka mnatembeza bakuli na makilometa yenu ya mraba?
 
Hivi naniliu anajua hata honi ilipo. Ni akili yangu tu..
Mkuu nahisi vinyemelezi vya uchochezi hapa, ha ha ha ha anaeza bana kama anajua kukoki chamoto ndo ashindwe iyo auto
 
Ingefanyika bongo hii, ingekuwa hatari. Bavicha wangemaliza kashfa na matusi yote duniani. Tujifunze ustaarabu
Kwahiyo umeona hiyo imekaa sawa. Wewe pambana tu na Bavicha siku ukizinduka usingizini utakuta wenzako wana jhatua 7.9% maendeleo wewe 7.2%
 
Back
Top Bottom