Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Habari ndiyo hiyo, Afrika yote inakwenda kuunganishwa chini ya mwavuli wa AU na Kiongozi wake atakuwa Paulo Kagame, na huu siyo mpango wetu sisi Waafrika bali mpango wa Wazungu au maelite wa Dunia ambao wana mpango wa kuinganisha Dunia nzima chini ya Utawala wa wachache, kama vile walivyo fanya EU kuna sababu kwa nini Uingereza wameamua ktk EU na wengine wengine watafwatia!
USA, Kanada na Mexiko pia zitaunganishwa pamoja inaitwa North American Union chini ya mpango wa NAFTA ambao D.Trump ameapa kuindoa USA NAFTA na ndiyo maana anaandamwa, hakuna Mwanasiasa ktk Historia ya USA aliyewahi kuandamwa, kutukanwa, na kudhihakiwa na media kama D.Trump lkn bado anaongoza kwenye approval ratings (kura za maoni) hiyo inapaswa ikwambie kitu, sasa huku kwetu Afrika, Wazungu ndiyo wanaofadhili AU ina maana kuanzia mishahara mpaka kuendesha ofisi fedha zinatoka kwa Wazungu!
Gadafi wa Libya ndiye aliyekuwa anaifadhili AU lkn anti christ Obama akamuua, Obama ni Kiongozi wa kwanza wa USA kuassasinate sitting president/Kiongozi wa Kiafrika, ijulikane dhambi kubwa aliyoifanya Gadafi ni kwamba aliipenda Afrika, alikuwa anataka kwa kutumia fedha nyingi za Mafuta ya Libya kuunganisha Afrika na Waafrika na Gadafi alianzisha Gold Dinar ambayo ndiyo ingekuwa fedha ya Umoja wa Afrika!
Sasa Viongozi wa kiafrika chini ya Paulo Kagame wameanzisha electronic African passport huo ni mwanzo tu hata EU ilianza hivyo hivyo leo hii EU ni dictatorship, Viongozi wake hawachaguliwi na Mwananchi yoyote yule wa EU bali wanateuliwa na maamuzi ya EU Mwananchi hana sauti ya kuyapinga, na ndiyo wanaotengeneza Sheria kubwa za nchi wanachama wa EU na kwa kutumia nguvu yake ya Kiuchumi hulazimisha nchi ambazo siyo Wananchama kuzichukuwa hizo sheria, na haya ndiyo moja kati ya mambo yaliyowakimbiza Waingereza au nisema bado wanajaribu kukimbia lkn wanafungwa!
(Katuni kwa hisani ya gazeti la Kenya)Ukiiangalia vizuri hiyo katuni inaweza kukwambia kitu, kwamba Paulo Kagame ndiyo mrefu na mkubwa klk Viongozi wote wa Kiafrika, hayo ni maandalizi tu!
Chanzo: The Economist
USA, Kanada na Mexiko pia zitaunganishwa pamoja inaitwa North American Union chini ya mpango wa NAFTA ambao D.Trump ameapa kuindoa USA NAFTA na ndiyo maana anaandamwa, hakuna Mwanasiasa ktk Historia ya USA aliyewahi kuandamwa, kutukanwa, na kudhihakiwa na media kama D.Trump lkn bado anaongoza kwenye approval ratings (kura za maoni) hiyo inapaswa ikwambie kitu, sasa huku kwetu Afrika, Wazungu ndiyo wanaofadhili AU ina maana kuanzia mishahara mpaka kuendesha ofisi fedha zinatoka kwa Wazungu!
Gadafi wa Libya ndiye aliyekuwa anaifadhili AU lkn anti christ Obama akamuua, Obama ni Kiongozi wa kwanza wa USA kuassasinate sitting president/Kiongozi wa Kiafrika, ijulikane dhambi kubwa aliyoifanya Gadafi ni kwamba aliipenda Afrika, alikuwa anataka kwa kutumia fedha nyingi za Mafuta ya Libya kuunganisha Afrika na Waafrika na Gadafi alianzisha Gold Dinar ambayo ndiyo ingekuwa fedha ya Umoja wa Afrika!
Sasa Viongozi wa kiafrika chini ya Paulo Kagame wameanzisha electronic African passport huo ni mwanzo tu hata EU ilianza hivyo hivyo leo hii EU ni dictatorship, Viongozi wake hawachaguliwi na Mwananchi yoyote yule wa EU bali wanateuliwa na maamuzi ya EU Mwananchi hana sauti ya kuyapinga, na ndiyo wanaotengeneza Sheria kubwa za nchi wanachama wa EU na kwa kutumia nguvu yake ya Kiuchumi hulazimisha nchi ambazo siyo Wananchama kuzichukuwa hizo sheria, na haya ndiyo moja kati ya mambo yaliyowakimbiza Waingereza au nisema bado wanajaribu kukimbia lkn wanafungwa!
(Katuni kwa hisani ya gazeti la Kenya)
Chanzo: The Economist
Say no to ,,electronic African Passport"!