Pattern zinasemaje??

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
2,087
Reaction score
3,547
Kapilimba, PhD kabla ya kua DGIS alikua mkurugenzi NIDA then 2019 akatolewa. Sasa hivi tetesi na duru zinaonyesha James Kaji ndo anakua next DGIS na ikumbukwe huyu jamaa alikua mkurugenzi pale NIDA pia. Kwa wataalam wa pattern naomba muje mutuchoree.
 
Jambazi la kuiba kuku na DGIS kwasasa hakuna tofauti ni wahalifu kama wahalifu wengine tu wasio tahiriwa. Haiwezekani wizi kila Kona nchi inauzwa na Malaya wao wanaangalia tu. Hakuna TISS wala jwtz wote ni wasaliti na wauaji wa raia sawa na polisi na magereza.
 
Duuh hadi jw
 
Kuna siku nilimwambia mtu angalia sana mtumishi katoka hapa kahamishiwa kule. Katoka kule kahamishiwa huko. Katoka huko kaenda huku.
Hii sio kawaida hata kidogo
 
Mimi swali linaloniumiza kichwa
Ikitokea huyo director ka mess up issue ya kawaida sana eti huyo huyo aliechaguliwa kimchongo na kufanyiwa michongo michafu na wataalam eti utakuta anampa adhabu 🤣🤣
Kwani mnakumbuka issue ya kapilimba kuwa balozi Zimbabwe?🤣🤣🤣

Ule usemi wa mashetani hawanaga umoja ,it os real
 
Kapilimba, PhD kabla ya kua DGIS alikua mkurugenzi NIDA then 2019 akatolewa. Sasa hivi tetesi na duru zinaonyesha James Kaji ndo anakua next DGIS na ikumbukwe huyu jamaa alikua mkurugenzi pale NIDA pia. Kwa wataalam wa pattern naomba muje mutuchoree.
 
Kapilimba, PhD kabla ya kua DGIS alikua mkurugenzi NIDA then 2019 akatolewa. Sasa hivi tetesi na duru zinaonyesha James Kaji ndo anakua next DGIS na ikumbukwe huyu jamaa alikua mkurugenzi pale NIDA pia. Kwa wataalam wa pattern naomba muje mutuchoree.
NIDA + NEC + CCM = DUDE la kuibia kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…