Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
android kwenye suala la security hamna kitu, mwisho wa wezi iOS!
Kuna agreement fulani niliisoma sehm kati ya watengezaji wa os za simu kuhusu security sjui iliishia wapi, wangefanya kama Apple wangediscourage sana wizi wa simu!
Mbona nasikia kila siku watu wanatoa iCloud lock...
Kumbe wizi wa simu ni innevitable
Hata warusi imewashinda, nani huyo anayetoa? unaweza kubypass activation tu, lakini hauwezi kutumia chochote bila activation!!! ukiweka line tu umeumia, ikizima ukiwasha umeumia, ngoma ngumu utadanganywa tu, iPhone 5s iliyofungwa mtaani laki 2 mpaka 150!!! hazina maana labda kama unataka spare parts, Apple wako aggressive sana na ujingaujinga wa wizi, hata kama ni yako kihalali umesahau password kama umesahau na security question na haukuweka recovery email we tupa tu hata ukiwapigia watakwambia hawawezi kukusaidia!
Sijui nimechanganya au la?...Ila nimeona matangazo mengi kwenye makundi ya Dar deals(fb and Telegram)
android kwenye suala la security hamna kitu, mwisho wa wezi iOS!
Kuna agreement fulani niliisoma sehm kati ya watengezaji wa os za simu kuhusu security sjui iliishia wapi, wangefanya kama Apple wangediscourage sana wizi wa simu!
hakuna kitu ndugu yangu, dogo mmoja alikuwa anataka kuibia watu simu zao, mwingine humu akadai erick anafungua, anaapiza kabisa, ukimpigia eric mwenyewe kama anafungua icloud lock anakuuliza "imefungwa kwa mtandao gani?!!!!"....looooool!
Nimeambiwa kwa mara nyingine huyu kiumbe anatoa icloud lock 0785506535
hahahaa, anaitwa nani na yuko wapi?
Nimeambiwa kwa mara nyingine huyu kiumbe anatoa icloud lock 0785506535
Wala sijui nimetest zali kuuliza tena kuna Group fulani Telegram la mauzo ya bidhaa...nilipouliza kuna mdau kanipa namba kwamba huyo mtu anatoa hizo lock
inaitwa kill switch. Inatengeneza lose-lose situation. Yani ukiibiwa simu unaweza ukaiua simu isitumike tena. Ni nzur kwa wafanyabiashara ila watu wa kawaida sidhan kama wataikubali