Patrobass mrithi wa John Heche BAVICHA

View attachment 184531

tumeanza na mungu
tumeshinda na mungu
tutaongoza na mungu
tutahitimisha na mungu
the best are yet to come
kwa heshima na taadhima nimpongeze mwenyekiti mpya wa BAVICHA PAMOJA NA VIONGOZI WOTE WAPYA WALIOCHAGULIWA KULIONGOZA BARAZA. SASA TUMEPAATA SAFU YA KUONGOZA MAPAMBANO KUIPIGANIA NCHI NA WATU WAKE DHIDI YA WATAWALA WALIOSHINDWA KULETA MATUMAINI YANATEGEMEWA NA WANANCHI.

nb; maadui na mifumo ya magharibi ndio tatizo zaidi kwa maendeleo ya nchi, sijutii msimamo mkali dhidiya mifumo ya magharibi na nitaendelea kupambana na ipo siku vijana wenzangu na taifa watakuja kunielewa.

PEOPLES
 



Mkuu hakika umekomaa kisiasa,Mungu akutangulie katika mapambano
 


Ujasiri wa kumponda kamanda Patrobasi wanautoa wapi?mtu amekitumikia chama kwa moyo wote,go..go kamanda PP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…