Patrobass Katambi: Ukweli utaniweka huru daima


Mlipeni Katambi hela yake hilo la kusubiri yeye aje atuambie nani kampiga risasi Lissu mmechemsha. Halafu sio Katambi tu hata Lissu mwenyewe akisema ni cdm walimpiga risasi kisha akahamia ccm bado itakuwa ni movie ya kijinga kwani waliompiga risasi wanaeleweka.

Nana Katambi anatumwa au anaanzisha malumbano kwenye media ili ajadiliwe ionekane cdm kuna tatizo kubwa sana. Sio kwamba cdm hakuna matatizo ila kila taasisi ina matatizo yake, cha muhimu ni jinsi gani yanatatuliwa. Yeye Katambi ameshatakiwa maisha mema aendapo asitafute point za mezani kwa kulazimisha mijadala juu yake. Akitumikie chama chake kipya kama ana wazo lolote ka kufungua shughuli ya uzalishaji mali. Lakini kutuambia ccm ni chama bora huku ajira hakuna, uchumi unayumba, wakulima tunazidi kuumia hata mkopo hatuwezi kupata atakuwa anachekesha vinyago.
 
muulize ivi vile vikao vya siri vya ndani vya ccm na yeye atakuwepo??????
 
Lissu ni serikali, kama si waouhusu Uchunguzi Huru wa nje. Wewe ni mwehu acha dhihaka kwa watu tulioumizwa na uhalifu wa CCM.
 
Makufuli is suffering from Allodoxaphobia that is the fear of opinions.
 
Wengi hudhani kwamba ni rahisi KUUITA "UONGO, UKWELI!!" Na wakajiaminisha kwamba UONGO ule tayari umeaminiwa kuwa ndio UKWELI!!

Matumbo haya!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…