Patrobas alitaka fursa gani CHADEMA?

Fursa alipewa jimbo agombee akaibiwa kura na hao aliowafata leo asee m nlivomwona kwe TV nlifikiri kaenda kuomba kura zake walizomwibia bna duuuh
 
Kila anayetoka anasema lake, Nyalandu alisema yake na Patrobas kasema yake....
We elewa tu kila mtokaji ana lale la kusema.
Sio lazima liwe la kweli.
Nyalandu kilimuuma serikali kumpiga TL risasi wakati ni mbunge
 
Kwa mtazamo wako masolex anapambana na rushwa? Au ana roho mbaya tu ananunua ndege bila bunge kujua ni ufisadi tu
 
Petrobas kasema alikuwa anabaguliwa. Hujui kwamba ni chama cha watu fulani tu? Kati ya watu 8 waliojitoa leo ebu tueleze wangapi ni wa huko?

Hukumsikia Jerry Muro alisema watu huwekwa kwa sababu fulani, hawafuati merit. Wewe unapenda uwe mkuu BAVICHA figure-head huku wazee wako wanamalizana kumtukana Rais muda mwingi na hela nyingi zinatumika ulaji kutetea kesi?

CHADEMA ni chama maslahi, na ni cha wenyewe. Kijana makini kama hutoki leo utatoka kesho labda uwe wa huko.

Nasikia hata Lowassa anataka kurudi wamemkaba koo kifedha baada ya kumfilisi, hapi zamani alikuwa anajenga vigango na misikiti kama njungu siku hizi hata mahafali humuoni.
 
Mwenyekiti wa Bawacha jina tu ruzuku inaishia makao makuu na kwa wenye chama
 

Chama kina ukabila halafu mkuu wa baraza la vijana anatoka usukumani!!!!?
 
Aende tu, wapo vijana wengi na makini sana kuliko yeye kwanza alishaonekana hana tija ndio maana kaondoka. hata iwe kimetolewa 'kitu kdg' kama cha kule Ar poa tu. ILA aelewe kuwa ccm watamtumia kama condom baadae hawatakuwa na issue nae tena.
Maneno yako ni ukweli tupu aisee.
Wewe si unaona walivyomtumia Juliana Shonsa na kumtupa?
 
possibly within a shorttime anadhani ccm watampa cheo gani?atasugua bench sana bora angekuwa mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…