mo effect
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 567
- 637
Habari wana JF
Nawasilisha
Kwa mujibu wa uchambuzi wa mtandao wa African Review, nchi tano Africa zinazoongoza kuwalipa marais wake mishahara minono ni..
1.Cameroon dola 610,000,
2.Morocco dola 480,000,
3. Afrika Kusini dola 272,000
4. Tanzania dola 192,000,
5. Algeria dola 168,000.
Mtandao huo umebainisha pato la Mtanzania wa kawaida kwa mwaka ni Dola 1750 sawa na Sh 3.5 milioni linalozidiwa mara 114 na kiasi cha mshahara anacholipwa Rais kwa mwaka.
Sasa kuna ule usemi kiongozi mmoja alisema ‘’nataka niwafanye matajiri waishi kama maskini ’’ Je yeye ni masikini au ni tajiri na kama ni tajiri yupo tayari kuwa na kipato sawa na mwananchi wa kawaida..?//