Makeya Mranzi
Member
- Aug 15, 2020
- 93
- 122
Habari Wana jukwaa la elimu, je Patandi teachers college inatoa diploma ya special education; na kama inatoa naombeni maelezo jinsi ya kufanya application.
Inatoa ili usome hiyo diploma uwe na diploma ya kawaidaHabari Wana jukwaa la elimu, je Patandi teachers college inatoa diploma ya special education; na kama inatoa naombeni maelezo jinsi ya kufanya application.
Asante hvy Kama huna ya kawaida hutakiwi kusomaInatoa ili usome hiyo diploma uwe na diploma ya kawaida
Wacha upuuzi. Unataka kila MTU awe daktari?Bado tu mnasoma vyuo vya ualimu. Mna ujasiri.
Upuuzi niliishaacha, na ndio huo nimekuachia wewe. Kasoma ualimu baadae uje kulaumu serikali haiajiri huku ukiwa huwezi kujiajiri.Wacha upuuzi. Unataka kila MTU awe daktari?