Patachimbika hapa

Sijui atatumia staili gani ili pachimbike maana hapo hamna cha kung fuu wala matumla labda ile staili ya...hahahahaaaaaaaa lol watoto hawa bana kula wana kula kulala wanalala...
 

Atakabutua hapo kenyewe ndo katageuka mpira, kuna vitoto vilikuwa vinacheza mpira kichochoroni, mpira ukaangukia upande wa pili wa nyumba, kwenda kutafuta kabla hawajauona wakawuona mzee ana busha amevaa msuli anakatiza, wacha wamkomalie.. turudishie mpiraa... mzee wa watu kakosa la kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…