Canon XL1 kwa harusi na documentaries,quality ya picha iko vizuri sana hii ni mashine ya kazi siitumii tena karibu kwa anayehitaji. Bei 550,000/=
Mawasiliano 0717 017 820
toa detail zote za hiyo camera, aina.....
Biashara ni kipaji... jinadi!Details waweza check maana nimeweka model yake,baterry limekwisha,otherwishe kazi kama kawaida.