Pata viatu vya kike vyenye ubora

Apologise lady

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
5,979
3,103
LADYELLYMOVINGSHOP.

UTARATIBU.
1.Oda zote zinapokelewa, mteja unapaswa kulipia oda zako ndani ya masaa 72 tangu ulipotoa oda.

2.Oda isiyolipiwa ndani ya masaa 72 ni batili, hvo bidhaa itauzwa kwa wengine wenye uhitaji.

3.Bidhaa zangu zinauwezo wa kuwa sokon kwa wk 3 tu, ikiwa uliweka oda bidhaa na haukulipia bila maelezo yoyote, ukihitaji tena usinikumbushe oda ya nyuma, unatakiwa kutoa oda mpya kulingana na bidhaa itakayokuwa sokoni wakati huo.

4.Kwa wale wa mkoani gharama za usafirishaji zitakuwa za mteja na analipia kulingana na thaman ya mzigo.

5. Mzigo utatumwa ndani ya masaa 72 tangu mteja atakapo lipa pesa.

6. Ikiwa umetumiwa mzigo tofauti na oda yako unaruhusiwa kuurudisha kwa gharama zangu ukabadilishiwa au kurudishiwa pesa yako.

7.Bidhaa ninazokuwa nazo kwa wakati, ni zile tu ninazotuma picha kwa wakati huo.

8.Biashara hii ni ya cash, haihusishi mkopo hata kidogo, lipa upewe bidhaa, najua fika nikikukopesha nakupoteza mteja,

9.Biashara yangu haihusishi urafiki wala undugu, hayo mambo kwenye biashara nayaweka pembeni.

10.Weka mbali utani na biashara, unataka bidhaa toa oda upate mzigo wako,

Dar, home delivery ni jmos na jumapil na unalipia 2000.

Ukihitaji ni mp. Na biashara itafanyika hapa. 0629586817

HAPA KAZI TU. No fake zone:cool:

Asante kwa kuwa mteja wangu mwaminifu kwa kuheshimu sheria.


jumla tu kuanzia pair 16, bei tsh 160000.
 

Attachments

  • 1456673183668.jpg
    1456673183668.jpg
    37.5 KB · Views: 56
  • 1456673215892.jpg
    1456673215892.jpg
    21 KB · Views: 55
Back
Top Bottom