Pata sofa set kwa bei cheee kabisa

Pata sofa set kwa bei cheee kabisa

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
883
Habar wakuu safar ya kuhamia Dodoma bado I naendelea karibu sofa set kwa bei chee kabisa ya 280k kwa Maelezo na mapicha Whatsap 0763772636 nimeshindwa kuweka picha
 
Habar wakuu safar ya kuhamia Dodoma bado I naendelea karibu sofa set kwa bei chee kabisa ya 280k kwa Maelezo na mapicha Whatsap 0763772636 nimeshindwa kuweka picha

Kwa utangazaji huu itakuwia vigumu sana kupata wateja mkuu, ungeeleza unapatikana wapi, sofa set ya watu wangapi kwa ngapi, zimetumika, mpya au zakuhitaji matengenezo, kisha ungepambia kwa picha. Ni ushauri tu.
 
Asante kwa ushauri mkuu moja ni LA wawil jingine LA mmoja yametumika miezi mitatu picha naweka zinagoma
 
Back
Top Bottom