Pata QR code ya lebo/biashara yako

Pata QR code ya lebo/biashara yako

Alvin John

Member
Joined
Mar 27, 2018
Posts
56
Reaction score
25
Habari wakuu! Naitwa Alvin ni mgeni humu, nimeona sio mbaya nikijielezea kidogo mimi ni nani na utaalamu wangu ni nini.. Kama nilivyotaja jina langu pia ni mhitimu wa chuo cha KITM kilichopo mwenge kwa mama ngoma, nimesomea IT diploma. Natengeneza QR CODE kwaajili ya kuweka kwenye biashara yako, yawezakuwa kwenye lebo ya bidhaa zako, kadi za biashara au hata kwenye mavazi.

Faida za QR Code:
1.Inafanya bidhaa kuonekana bora zaidi
2.Supermarket nyingi na kubwa hazipokei bidhaa ambazo hazina QR Code
3.Huwezi kuibiwa bidhaa kama utaiweka kwenye lebo zako
4.Inabeba full details za mtengenezaji wa bidhaa na details nyinginezo
5.Weka namba za biashara kwenye lebo na namba zako binafsi kwenye QR Code

Zipo faida nyingi za Code hii nadhani wengi mnaifahamu na hata kwa wale wasioifahamu mtaiona hapo chini, nitakutengenezea ya kwako mwenyewe kwa gharama nafuu kabisa na utaweza kuitumia popote kwenye bidhaa yako.

Pia natengeneza Blog, website , mobile app za blog (nakuwekea matangazo ulipwe) , logo , lebo , natangaza biashara za watu , hosting , domain registration (nitakuunganisha na matangazo yetu ulipwe ukisajili domain kwetu) na vitu vingine vingi vinavyohusiana na IT.

Gharama ya QR Code ni kuanzia Tsh.20,000/= hii itatokana na biashara yako ilivyo.

Karibu sana,
SMS, Whatsapp: +255 688 072 587
Email: dreamsupertechs@gmail.com

QRCode Mama.png QR CODE

Jaribu kuiscan utaona details za MAMA PRODUCTS, huyo ni mteja wetu mkubwa sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom