Acha kiherehere wewe....kila thread Ngoja waje ngoja waje.......Hunaga mishe za kufanya?
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Ni chizi tu na ana muda mwingi wa kuchezeaHuyu jamaa nahisi ni robot..
Ananikera sana, basi tuHuyu jamaa nahisi ni robot..
Jamani mbona mshkaji hajamtusi yeyote? This is social network, anyone can access.Acha kiherehere wewe....kila thread Ngoja waje ngoja waje.......Hunaga mishe za kufanya?
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Mkuu note the following;Jamani mbona mshkaji hajamtusi yeyote? This is social network, anyone can access.
Mtu kama unataka watu wasichangie unatengeneza forum yako then unaondoa sehemu ya kucomment ili ubaki alone, ila issue za kutukanana tena kwenye post ya biashara sio busara!
Mkuu note the following;
1. Sijamtukana mtu yeyote
2. Mpaka nimemsema hivyo ujue kazidi.
3. Jaribu kufuatilia thread anazo comment humu jf....he/she adds nothing of value ni ujinga ule ule tu kila siku kama alipo comment kwangu.
4. Kama umesema kila mtu anauhuru wa kujieleza basi acha na mimi njieleze huyu Smart911 anakiherehere
Zipo ila mimi nipo DarMimi nataka Euro track na soccer..nipo sumbawanga.
Ipo miminimkulimaakachekasanamkuu the witcher 3:Wild hunt unayo?
![]()
Mkuu Tony-stark umekimbiaLego marvel super hero 2 ipo?.
kimyaIli game unalo?View attachment 1237047View attachment 1237048