mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,598
- 19,241
Unapatikana wapi?
Unapatikana wapi?
DarUnapatikana wapi?
Watch Dog 2 ipoIli game unalo?View attachment 1237047View attachment 1237048
yaani tom clancy ambayo inasapot kwenye pes
natak gta5Nauza PC Games za kila aina in different categories, zipo za Sports,RPG, Shoot Em up nakadhalika. Ukinunua unapata Setup folder utakayiwez kui run kwebye windows PC yako yoyote.
Price ; tsh.10,000/= kwa kila moja....ukichukua mengi bei inapungua...
Mfano ukinunua 2 nakupa for tsh.15,000/=
Tatu for tsh.20,000/= etc
Sample ya collection nliyonayo ni kama hii
View attachment 1234924
Pes ndo nini?yaani tom clancy ambayo inasapot kwenye pes
Karibu iponatak gta5
Du sikujua km ni Biashara mkuu, uumbe jukwaa la Matangazo ngoja niende kwenye majukwaa mengine wametuwekea DOOM Collection, Need for speed, ZUMA, EUROTRUCK nkThere is no free lunch mkuu
Du sikujua km ni Biashara mkuu, uumbe jukwaa la Matangazo ngoja niende kwenye majukwaa mengine wametuwekea DOOM Collection, Need for speed, ZUMA, EUROTRUCK nk





Kwenye PS unskuwa na pads. Hii inakuajeKIVIPI
Hizo ni PC GAMES tu .....Microsoft Windows games sio za playstationKwenye PS unskuwa na pads. Hii inakuaje
Unataka vya bure tu sioDu sikujua km ni Biashara mkuu, uumbe jukwaa la Matangazo ngoja niende kwenye majukwaa mengine wametuwekea DOOM Collection, Need for speed, ZUMA, EUROTRUCK nk
Acha kiherehere wewe....kila thread Ngoja waje ngoja waje.......Hunaga mishe za kufanya?
Hadi unafuatilia/kuzikumbuka threads anazo comments!, una mahaba naye.Acha kiherehere wewe....kila thread Ngoja waje ngoja waje.......Hunaga mishe za kufanya?
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app




Acha kiherehere wewe....kila thread Ngoja waje ngoja waje.......Hunaga mishe za kufanya?
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Kila thread nayopost jf huyu mjinga ana comment the same stuffHadi unafuatilia/kuzikumbuka threads anazo comments!, una mahaba naye.