usalama kwanza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2012
- 386
- 158
Isecure inatoa ofa ya online tracking bure kupitia kwenye simu na computer kwa muda wa miezi mitatu kwa wateja watatu wa kwanza watakaoweka alarm systems & cartracking .Baada ya muda huo mteja atachagua au kuendelea kulipia gharama za mwezi kwa ajili ya online tracking au ataamua kuweka hela yeye mwenyewe kwenye tracking na kuwa anapokea/anafanya tracking kwa njia ya sms au ataamua kutokulipia na kutumia kifaa kama alarm ya kawaida bila kutrack gharama ni za kufungiwa kifaa ni shilingi laki tatu.
1. Kifaa kinafanya kazi kama alarm.
i) Hii inamaana italiza king’ora ikiwa ghali lako litagushwa au kupata mshtuko au kufunguliwa milango.
ii) Iwapo alarm italia utapata pia taarifa kwenye simu yako ya mkononi.
2. Kifaa kinafanya kazi ya kutrack.
i) Hapa itakupa taarifa ya kuwashwa kwa gari yako ,
ii) Itakupa taarifa ya kuzimwa kwa gari yako
iii) Utapata taarifa ya utumiaji wa mafuta katika gari yako
iv) Itakupatia taarifa kuhusu mwendo kasi wa gari lako na kama gari lako limezidishwa mwendo.
v) Inayo uwezo wa kukupa taarifa ya gari yako kila baada ya muda utakaochagua , mfano kila baada ya nusu saa , hapa itakuletea mwendokasi wa gari ,mahali lilipo, na muda.
vi) Inao uwezo wa kukupa taarifa ya gari lako kutokana na umbali uliotembea , mfano kila baada ya kilomita 3 itakuletea taarifa gari lilipo, mwendokasi, na muda.
vii) Inao uwezo wa kulizima gari lako popote lilipo na lisiweze kuwaka mpaka pale utakapoamua kuliwasha kwa kupitia simu yako ya mkononi.
viii) Pia ina geofencing function, SOS button , online tracking.
kwa maelezo nipigie 0714890018