Pata nyumba kwa gharama nafuu

Pata nyumba kwa gharama nafuu

Ccreation

Senior Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
145
Reaction score
55
Nyumbabunifu ni mradi wa uwezeshaji wa ujenzi wa nyumba kwa gharama nafuu na kwa njia mbalimbali za ulipaji,
CHAD CREATION CO LTD Ndiyo kampuni inayoratibu mradi huu, pia tunatoa huduma zifuatazo:

*upimaji wa viwanja na uuzaji
*usimamizi wa ujenzi na majengo
*ukarabati na upambaji wa majengo.
*upangishaji wa majengo
*mikopo ya viwanja,nyumba na ujenzi wa nyumba
* ushauri wa usimamizi wa majengo na biashara zake.
*uchoraji wa ramani za nyumba,

*mashamba na maeneo ya uwekezaji.

Karibu tukuhudumie,0762576878
 
CHAD CREATION COMPANY LTD, Ni kampuni iliyosajiriwa (ingia kwenye website ya brela) kwa uhakiki, Po box 30509 Lindi street, MACHINGA COMPLEX ,GHOROFA 4 ,Huduma zote zinatolewa na timu ya wataalam wetu na mikopo inatolewa na taasisi za kifedha ss tunaandaa andiko la mradi , kampuni yetu imeundwa na vijana wenye taaluma mbalimbali, lakini pia tunamarafiki wa kibiashara ( business partiners )tunabalishana taarifa na bidhaa katika sekta ya real estate , TAFADHALI FIKA OFISINI UHUDUMIWE, MAWASILIANO YETU:0762576878, Email:chadcreationtz@gmail.com,facebook page "nyumbabunifu"
 
Sio utapeli huu...!? Full address please...

in other words "dalali".

Brela unasajili kampuni ya aina yoyote na hata ukiangalia memorandum za makampuni wanasema paka wana sambaza vifaa vya meli.
Ila kwa mambo ya kitaalamu basi kuna utaratibu baada ya brela nao ni kusajili kampuni kwenye professional boards. nlikua nasubiri useme ingia crb, aqrb au ya valuers etc utakuta usajili wetu not brela.
na hakuna kampuni inayofanya na kusajiliwa kutoa huduma zote hizo! ubora wa professional companies is on specialization and not being as general and full of activities as that, anyway hustle mkuu! and all the best..
 
Back
Top Bottom