kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,182
Simple thing kama umeshafungua hilo group share link yake watu waingie wenyewe nadhani itakua rahisi sana******************
Heloo sory for delay wakuu, jf ilikuwa ya enzi hizoo yani ukitoa hoja humu watu wanaisoma na kuielewa...ila kwa sasa ni full jokes, kebehi, u much knw mwingii hata sijui nn shida.....mtu nimesema hii biashara nimeifanya kwa miaka 3 changamoto kubwa ilikuwa fake product...nikastrugle way out, nimepata solution na mzigo wa kutosha....nikajua watu wengi bado wanapata shida ya mzigo fake basi niwauzie kwa bei ya jumla yani pieces za nguo na sio bero, kwa hiyo unalipia nguo ukiwa unaiona na umelidhika nayo.....bado mtu anaponda sijui nn......kwa huyu aliekuja na idea ya group la biashara ya mitumba nahisi ni bonge la idea....naomba wanaotaka wainbix number zao tulianzishe kiroho safiiiii.....bt nguo zipo na biashara iendeleeee karibuni
Habari yako,natafuta sehemu wanayouza nguo za jumla hasa mashati, tshirts na vitop kwa bei ya jumla.Malalamiko mengi kuhusu biashara ya mitumba TZ ni uchakachuaji.
Hata kama ni grade one mnakata bale ya mtumba mnachakachua mizigo. Wauzaji wa rejareja wanakpsa wa kuwauzia.
Tofauti na sehemu kama Kenya. Grade A ni A hasa na haichakachuliwi. Mzigo wa kilo 45 unauza mpaka raha.
Afu tunalalamika biashara Bongo ngumu.
Nilikuwa nachukua jumla Gikomba miaka hiyo.Habari yako,natafuta sehemu wanayouza nguo za jumla hasa mashati, tshirts na vitop kwa bei ya jumla.
Niunge0768838309
Check me,plz,danmachete666@gmail.com"HABARINI WANDUGU,
Nimekuwa kwenye hii biashara ya nguo za mtumba kwa miaka mitatu sasa, ila changamoto yake kubwa muda wooote huo ilikuwa kupata mizigo mibovu yani nguo mbaya mbayaaaa tu hapa bongo, but sikukuta tamaa nikakomaa kupitia hiyo changamoto sasa nimeitatua kabisaaaaa, napata nguo nzuri hadi mwenyewe nafurahi.
Kwa vile mzigo umekuwa mwingi.
Hivyo ukihiitaji nakuuzia kwa bei ya jumla (whole sale).
Mkiwa wengi mnaohitaji mzigo kwa sehemu moja au karibu karibu ndo inakuwa nyepesi kuupokea mzigo.
Nguo zitakazokuwepo ni:-
Tops
Blauzi
Gauni ndefu
Gauni fupi
Skin tait
Skin jeans
Gauni fupi
Sketi fupi
Sketi ndefu
Trench coats
Simple fashion coats
Pedo
Vibajaji nk.
Nguo ni aina zote yani cottoni na silk/shiphoni.
Mikoa ambayo itafikiwa kiurahisi ni; Dsm, Moro, Dom na Iringa
serious pm.
0627285492Namba ya simu mkuu ndo kila kitu
Bado hii biashara unfanya nami nijiunge niongeze kipatotoeni namba zenu uunganishwe group la biashara ya mtumba
Can you kindly send me your number"HABARINI WANDUGU,
Nimekuwa kwenye hii biashara ya nguo za mtumba kwa miaka mitatu sasa, ila changamoto yake kubwa muda wooote huo ilikuwa kupata mizigo mibovu yani nguo mbaya mbayaaaa tu hapa bongo, but sikukuta tamaa nikakomaa kupitia hiyo changamoto sasa nimeitatua kabisaaaaa, napata nguo nzuri hadi mwenyewe nafurahi.
Kwa vile mzigo umekuwa mwingi.
Hivyo ukihiitaji nakuuzia kwa bei ya jumla (whole sale).
Mkiwa wengi mnaohitaji mzigo kwa sehemu moja au karibu karibu ndo inakuwa nyepesi kuupokea mzigo.
Nguo zitakazokuwepo ni:-
Tops
Blauzi
Gauni ndefu
Gauni fupi
Skin tait
Skin jeans
Gauni fupi
Sketi fupi
Sketi ndefu
Trench coats
Simple fashion coats
Pedo
Vibajaji nk.
Nguo ni aina zote yani cottoni na silk/shiphoni.
Mikoa ambayo itafikiwa kiurahisi ni; Dsm, Moro, Dom na Iringa
serious pm.
Naomba number yako"HABARINI WANDUGU,