Halafu unatumia voucher gani?
haahahahaha hii kitu ya kwel mazee,,, now nazingua watu npo marekan n wanaamini.... hahha
Unaweka vocha ya mtandao Upi boss
Mkuu nimejaribu lakini sms ya verification code wala haitumwi aiseeee...!, tatizo ni nini??
Make sure kule kwny pc upo online
Nipo kwenye ipad kaka. Je haifai kuwa online kwenye ipad?
Ngoja aliepost aje, me nmejarbu kwny pc imeubali....cjajua kwny ipad
Unaweka vocha za wapi?
Unaweza kupiga simu na kutuma sms za kawaida ambazo sio za Whattsap?
Unaweka vocha za wapi?
Unaweza kupiga simu na kutuma sms za kawaida ambazo sio za Whattsap?
Ukijiunga utapata dola 1 ambayo utaweza tumia kutuma msg na kupiga cm.
Ukijiunga utapata dola 1 ambayo utaweza tumia kutuma msg na kupiga cm.