Pata namba ya US bure na unaweza kuitumia kwenye WhatsApp

watu wameitazama kwa Dark side hii issue kwa kukomalia ulimbukeni tu lakini hii imenifundisha kitu maana hii inaongeza Privacy unaweza kushare contacts zako kokote Online bila wasi wasi na unaiweka kama kwa ajili ya whatsapp only ambaye hana whatsapp atakutafuta kwa email ila haya mambo ya ku-expose namba yako e.g 0753932251 hapa JF mtu anakucheki Mpesa kama haujasajili line kwa jina la WiFe au Ndugu yako ndo mtu anakujua mpaka ndani....

Na ndo maana JF hatutumii majina yetu halisi au hata kwenye Online platforms au social media nyingine
 
Vp unaeeza kwa at&t??!!

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
watu wameitazama kwa Dark side hii issue kwa kukomalia ulimbukeni tu lakini hii imenifundisha kitu maana hii inaongeza Privacy unaweza kushare contacts zako kokote Online bila wasi wasi na unaiweka kama kwa ajili ya whatsapp only ambaye hana whatsapp atakutafuta kwa email ila haya mambo ya ku-expose namba yako e.g 0753932251 hapa JF mtu anakucheki Mpesa kama haujasajili line kwa jina la WiFe au Ndugu yako ndo mtu anakujua mpaka ndani....

Na ndo maana JF hatutumii majina yetu halisi au hata kwenye Online platforms au social media nyingine
hata mm nashangaa mkuu maana naona watu wanaipondea sana hii ishu .kizuri ninachokijua hapa wengi wapiga vijembe hapa sio kwamba wanajua lolote but walikuwa hawajui lolote .

wamesahau kwamba jf ni uhuru mwanzo mwisho pamalimbukeni ,wajanja,mafara wajuaji na kila aina ya watu kwahiyo kundi 1 lisije likajiona lenyewe ni bora zaidi ya lingine
 
mkuu haya ndio mambo ya jukwaa la TECH bana sio MMU huku mkuu.
na inshort nishafanikiwa kitambo sana mkuu na namba yangu ya ni +13233355555

Mkuu umefanyaje? Mimi hawanitumii hiyo verification code. Achana na wapondaji hawa hawana jipya
 
Daaah mambo ya babu wa loliondo hy! Ka unata hayo ma us namba,si uende huko Usd sijui Usa,mmekazana tuu sasa vocha zitatumika za wapi,tumia za SASA TEL,haya majanga tupu kisa uonekane upo Usa,wakati upo mbagala maji matitu,aibuuu tupu inji hiii!
 
Mkuu umefanyaje? Mimi hawanitumii hiyo verification code. Achana na wapondaji hawa hawana jipya
SMS verification iki=fail kuna option ya ku-call, nilitumia hiyo ni rahisi zaidi.
Kama alivyosema Mkuu hapo juu, hii ni nzuri zaidi ya kutumia #yako binafsi. Mimi nawasiliana na watu kwa email zaidi so kwa Whatsapp hii inanifaa zaidi na namba zangu nyingine ni kwa watu ninaowafahamu tu.
 
Hii ni kwa wale wanaojifanya eti wapo USAkumbe wapo bongo inawafaa sana hii(samahani km nmekwaza mtu)
View attachment 159922
1-Tembelea https://signup.voxox.com/signupvoxox kisha jaza form hapo
View attachment 159923
2-Ingiza namba yako ya sim inayotumika kwani watakutumia confrimation code kisha Submit
View attachment 159924
3. Ingiza confirmation code uliyotumiwa kwenye namba ya sim uliyojaza kwenye step #2
View attachment 159925
4. Hapo utapewa namba yako sasa iyozungushiwa oval, click Window icon ku download voxox app kisha install
View attachment 159926
5. Open voxox baada ya kuinstall kisha login kutumia info ulizojaza step #1
View attachment 159927
6.Then tayar umemaliza, unaweza kutumia namba uliyopewa kwenye step #3 km kwenye viber whatsapp nk. make sure voxox ipo online ili uweze ku receive confirmation codes za either whatsapp au viber nk.
Note: I will not responsible for anything happens when u use that number.

samahani mkuu though ni nje ya thread hii nna simu yangu inaitwa t..mobile slidekick kama waweza naomba nisaidie jinsi ya kuipatia configuration za net,
wasalaam mkuu
 
mkuu haya ndio mambo ya jukwaa la TECH bana sio MMU huku mkuu.
na inshort nishafanikiwa kitambo sana mkuu na namba yangu ya ni +13233355555

Ebwana sjatumiwa code aseee afu ndo nlivyoona tuu hii thread nikamuaga mchumba naenda south Africa nlitegemea itakubali sasa imebuma na lipc nnalo hapa sasa daaaa sjui utanisaidiaje aseee hali tete
 
Ebwana sjatumiwa code aseee afu ndo nlivyoona tuu hii thread nikamuaga mchumba naenda south Africa nlitegemea itakubali sasa imebuma na lipc nnalo hapa sasa daaaa sjui utanisaidiaje aseee hali tete
Njoo nikukopeshe nauli uende
 
Back
Top Bottom