Pata mkopo chap ndani ya masaa 24

Pata mkopo chap ndani ya masaa 24

Mikopo yetu ni kuanzia milioni 2 hadi milioni 10
Nikikopa shilingi milioni moja (1,000,000/=) kwa kipindi cha mwaka mmoja, yaani miezi 12 nitarudisha shilingi ngapi jumla?

Nitakuwa narudisha shilingi ngapi kila mwezi?

Tusaidie hapa
 
Maximum time ya mkopo wetu ni miezi 12 and You can pay it in only a month. Hatutoi mikopo zaidi ya miezi 12. Kwa iyo unapopigia iyo accumulation ya mwaka mzima unakuwa unawapotosha watu mkuu
sasa hata kama ni miezi 12 kitu ambacho ni uongo , mmewakopesha watumishi wengi kwa miaka zaidi ya 4 kwa nini hukusema riba kwa mwaka ni 90%?
 
Sasa kama umeshindwa kulipa deni ufanywaje sasa , dawa ya deni lipa deni acheni kulia lia ...
We mzee sikopi kwenye hizo taasisi zenu
Mmekaa kuvizia tuu muwapige watu hela zao laana Nyie
Watu wanalia tuu Riba ni kubwa sanaaa
 
Mkuu... Mikopo yetu muda wa kurejesha hauzidi miezi 12. And you have to meet some criteria to be eligible kupewa MKOPO.
Remember mkopaji ana uwezo wa kulipa MKOPO wake in one month sio lazima akae na hela mwaka mzima.
KARIBU
sasa hata kama ni miezi 12 kitu ambacho ni uongo , mmewakopesha watumishi wengi kwa miaka zaidi ya 4 kwa nini hukusema riba kwa mwaka ni 90%?
 
Mimi naomba niwe dalali wenu wa kupiga mnada magari mtakayoyataifisha tafadhali kwasababu najua hivi vi ist na vi passio mtavipata sana tu
 
10 million Schedule:
For 3 months, Marejesho=4080000/month.
Total after
payment(3months)=12240000

For 6 months, Marejesho=2400000/month
Total payment(6months)=14400000

For 12 months, Marejesho=1500000/month
Total payment(12months)=18000000

Sorry for the late reply mkuu!
Nikikopa milioni 10 kila mwezi narudisha shilingi ngapi na Hadi mwisho wa miezi 12 nakuwa nimewalipa shilingi ngapi jumla ?
 
Akijibu nitag ndio niwapigie
10 million Schedule:
For 3 months, Marejesho=4080000/month.
Total after
payment(3months)=12240000

For 6 months, Marejesho=2400000/month
Total payment(6months)=14400000

For 12 months, Marejesho=1500000/month
Total payment(12months)=18000000

Sorry for the late reply mkuu!
 
Nikikopa shilingi milioni moja (1,000,000/=) kwa kipindi cha mwaka mmoja, yaani miezi 12 nitarudisha shilingi ngapi jumla?

Nitakuwa narudisha shilingi ngapi kila mwezi?

Tusaidie hapa
1. Hapo kasema riba ni 7.5 kwa mwezi mmoja

2. Kwa kuwa wewe utakopa kwa miezi 12 tutazidisha kwa riba ya mwezi mmoja ( 7.5 x 12) = 90%

2. Tukichukua ile njia ya darasa la saba ya (I=PTR/100) Kwa kuwa Ptunayo tayari ni 1,000,000/=, Time tunayo tayari ni mwaka 1, na rate ni 90 hivyo kupata riba pekee I ni rahisi sana.

3 . 1,000,000 X 90/100 = 900,000/=Hii ndio riba pekee kwa mwaka mmoja

4. Kwa kuwa mkopaji hurejesha Mkopo pamoja na riba ( 1,000,000+900,000) jumla atarejesha Tshs. 1,900,000/= wakati kakopa 1,000,000/= kwa mwaka mmoja tuu na marejesho kila mwezi yatakuwa Tshs. 158,333.33
 
Thank you for practical elaboration.

Similar Discussions

Back
Top Bottom