Pata mkopo chap ndani ya masaa 24

Pata mkopo chap ndani ya masaa 24

10 million Schedule:
For 3 months, Marejesho=4080000/month.
Total after
payment(3months)=12240000

For 6 months, Marejesho=2400000/month
Total payment(6months)=14400000

For 12 months, Marejesho=1500000/month
Total payment(12months)=18000000

Sorry for the late reply mkuu!
Don't try it at home or any other places
 
Maximum time ya mkopo wetu ni miezi 12 and You can pay it in only a month. Hatutoi mikopo zaidi ya miezi 12. Kwa iyo unapopigia iyo accumulation ya mwaka mzima unakuwa unawapotosha watu mkuu
Kwa hiyo riba yenu ni 90% kwa mwaka?
 
Hawa jamaa ni kama matapeli, wanavyochukua mikopo watu hawafafanui vizuri kwamba riba yao in 7.5% kwa mwezi hivyo kwa mwaka ni 90%. Sasa hapo utata unakuja pale mtu anapokopa halafu baada ya muda anajua deni limeisha kumbe ndio kwanza limeanza.
Kuna siku walikuja kazini kuinadi kampuni yao sasa sikuwa nawajua nikaona reaction ya wafanyakazi ni mbaya. Walivyowaona kila mtu aliwalaumu kuwa ni matapeli wanakata watu hela licha ya deni Keisha kumbe shida hawatoi ufafanuzi mzuri juu ya riba zao na naona wanajua wakifafanua jinsi riba yao ilivyo hakuna atakayekopa.

Pia anachosema mikopo yao hailipwi zaidi ya mwaka ni uongo uliotukuka kwa sababu kuna jamaa yangu kazini kakopa hapa miezi sita haijaisha na atalipa kwa miaka miwili na point.

Cha mwisho naomba muwe mnawafafanulia wateja wenu vizuri kuhusu riba vinginevyo mtaendelea kuonekana matapeli sio kila mtu ana elimu ya fedha kama mnavyofikiri, msitumie mwanya huo kuwaibia wateja wenu ndio maana siku hizi watu wanaenda bank tu

Sambamba na hilo nasikia japo Nina uhakika wanaolipa deni zaidi ya mwaka akipata fedha sehemu akataka kumaliza deni kwa mkupua mnakataa ili miezi iongezeke muendelee kulata riba, huu ni wizi wa wazi na bank kuu inatakiwa kufuatilia kwa karibu hizi taasisi binafsi zinazokopesha.
 
Kweli kabisa BOT au Serikali kwa ujumla hapa haiwezi kukwepa lawama, riba ni kama bei ya bidhaa muhimi hapa TAARIFA ZA KUELEWEKA NA WAZI kwa jamii.

Sio UJINGA wa mteja iwe ndio FURSA kwa kampuni , hali kadhalika TRA nayo wanaficha elimu UJINGA wako ndio kodi kwao.
 
Sikufikilia kucoment ila nyinyi ni wezi wezi riba 7.5 daa hi riba ni kubwa sn ss si bora kwenda kukopa Benk tu
 
10 million Schedule:
For 3 months, Marejesho=4080000/month.
Total after
payment(3months)=12240000

For 6 months, Marejesho=2400000/month
Total payment(6months)=14400000

For 12 months, Marejesho=1500000/month
Total payment(12months)=18000000

Sorry for the late reply mkuu!
Acha masikini waendele kuwa masikini unakopa 10million unarudisha 18million kwa mwaka ni zaidi ya ukichaaa
 
Walivyo wapuuzi ukiwaambia utarudisha mkopo wao ndani ya mwezi hawakubali wanakuzungusha na blabla kibao ....BOT imefumbia macho ivi vi microfinance uchwara
 
Unachosema ni kweli mkuu. Lakini usiombe uko na tatizo la dharura, na pesa ya haraka kutatua hilo jambo ni mkopo.

Ndio maana kuna umuhimu kuwa na marafiki ambao mnaweza kusaidiana nyakati za shida na kufurahi panapo furaha.
You nailed it. Kuna wengine wanakopa hela za kufanyia sherehe na showoff za kijinga.
 
Unachosema ni kweli mkuu. Lakini usiombe uko na tatizo la dharura, na pesa ya haraka kutatua hilo jambo ni mkopo.

Ndio maana kuna umuhimu kuwa na marafiki ambao mnaweza kusaidiana nyakati za shida na kufurahi panapo furaha.
Naomba kuwa rafiki yako wa shida na raha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom