ipo mpaka ya 2000 barabarani mkuu uamuzi ni wako,Mche mmoja 10000
mwaka mmoja kama unautunza vyema mkuu!Hii miembe inazaa kwa muda gani
elfu kumi ina sifuri nne,na elfu moja ina sifuri tatu 000, mimi nimeandika 10,000 pale kwenye tangazoMche ni elfu kumi au elfu moja mbona haueleweki sasa.
ukitaka kuingia pm, njia rahisi bonyeza picha au jina la huyo mtu, itafunguka na utaona sehemu imeandikwa message, ukifanikiwa leta mrejeshoI dont know jinsi ya kuingia pm unaweza ukanicheki mimi!
Punguza bei uwasaidie wenzako. Au hata wewe huna yakutosha?Pata miche bora kabisa ya miembe kwa dar es salaam,utafurahia maembe haya kwani yanazaa kwa kiwango cha juu kabisa,epuka kununua miche kwa wauzaji wa mtaani,bei ya mche mmoja ni 10,000 za kitanzania.Pia utapata fursa ya kutembelea bustani na kuona miche ambayo imeshazaa maembe ujionee jinsi unavyopendeza.Aliye na uhitaji tafadhali njoo PM.
Nimeweza mkuu hopeful nimekupm inbox kwako!ukitaka kuingia pm, njia rahisi bonyeza picha au jina la huyo mtu, itafunguka na utaona sehemu imeandikwa message, ukifanikiwa leta mrejesho
kweli mkuu, umepatia, nimeionaNimeweza mkuu hopeful nimekupm inbox kwako!
heri yako umewafafanulia mkuu,unachofanya wewe ni kupiga dawa wakati wa maua yanatoka na dawa ya ukungu,then unasubiri mavunoBiashara ya maembe nzuri sanaaaa,sio cost full sanaa but iko na profit nzuri
chaguo ni lako mkuu,kikubwa ujue ubora wa hiyo miti unayonunua,mwanzoni nilinunua miembe huko usemapo tangu mwaka 2011 mpaka leo haijawahi kuzaa,lakini mbegu hii nimepanda 2015 ndio unaona maembe yananing'inia hapo,wakati mwingine vya rahisi sana impact yake sio nzuri,hujawahi kuona watu wanakusanya makokwa ya maembe pale temeke sterio,wengine wanakusanya mbegu za tikiti JE UMEWAHI KUJIULIZA WANAENDA KUZIFANYIA NINI??elf 10 mzumbe wanauza elf 3 kama nanunua miche 50/100 ni bora niende Morogoro alaf kwa Dar mbele ya kongowe opposite na kiwanda cha bakheresa wanauza miche ya miti yote price yake itakua chini sana