Ngoti pilla
JF-Expert Member
- May 12, 2018
- 272
- 160
Uko mbali sana hukoKuelekea pasaka Pata mchele safi kutoka mbeya wenye viwango vya Ubora, Weka order yako sasa tukufanyie delivery
Mchele safi kuanzia 1500 mpaka 2000 kwa kilo
Piga 0715169679View attachment 1740930
unapatikana kwa wingi maeneo ya MSISWI mkuuHuu mchele aina ya TAPA huko mbeya unalimwa sehemu gani mkuu?
Mchele kutoka Mbeya maeneo ya MSISWI eti!😇TAPA ndio nini???
Ifakara mkuuSuper mchele unaonukia sana unapatikana wapi
niko dar mkuu kama unataka maeneo ya dar pia unapata bossUko mbali sana huko
Mchele kutoka Mbeya maeneo ya MSISWI eti![emoji56]
niko Kwa azizi ali mkuu dar es salaamSuper mchele unaonukia sana unapatikana wapi
Jipatie boss uko dar maeneo ya Temeke aziz aliunapatikana kwa wingi maeneo ya MSISWI mkuu
sorry mkuu ni pataMchele kutoka Mbeya maeneo ya MSISWI eti![emoji56]
Ifakara hakuna mchele unaonukia...usipotoshe umaIfakara mkuu
Ifakara Kuna mchele mzuri ila haunukiiiIfakara mkuu
Mmh labda wa kilombero lakini mchele wa ifakara hunukia Hadi mtaa mzimaIfakara Kuna mchele mzuri ila haunukiii
Mkuu narudia Tena ifakara hakuna mchele unaonukia...hata ukipikwa pale Kampala .. bado unalia wa kawaida tuMmh labda wa kilombero lakini mchele wa ifakara hunukia Hadi mtaa mzima
Kuelekea pasaka Pata mchele safi kutoka mbeya wenye viwango vya Ubora, Weka order yako sasa tukufanyie delivery
Mchele safi kuanzia 1500 mpaka 2000 kwa kilo
Piga 0715169679
View attachment 1740930