Pata mafunzo ya satelite dish installation, CCTV Camera installation!

Asante kaka, pamoja. shakupata.Tumeshawasiliana kwa namba iliyoishia 510
 
Wadau nafasi zimebaki 18 na cku zimebaki 4 baada cku izo tutafunga daftari la usajili
Shukran
 
Mkuu nakuja, huu usawa Wa magu, inapaswa ujiongeze vinginevyo unaweza kuishia kulalamika tuu, bila tija..
 
Fursa!!! Fursa!!! Fursa!!!
MoonAfrican light inawaandalia SEMINA maalumu ya mafunzo ya ujasiliamali,yatakayokuwezesha kujikomboa na umaskin Na kujipatia njia Bora Na za kisasa za kutengeneza maisha yako kuwa Na maendeleo zaid
Jifunze namna Bora Na za kisasa za ufugaji wa Kuku,samaki,nyuki Na kilimo cha matikit,vitunguu,uyoga nk,pamoja na kujifunza ufundi wa njia za kisasa wa CCTV CAM SYSTM N MAINTANENC NA DIGITALIZED DISH
pia tunakuwezesha kujua namna ya kujipatia masoko ya bidhaa zako kwa urahis Na kwa faida nzuri

Kwa MAELEZO zaid jiunge kwenye group letu kupitia link hii..
Follow this link to join my WhatsApp group: MOON AFRICAN LIGHT
 
Mkuu haya mafunzo bado unayatoa??
 
Sisi tulioko mbeya mtatufikia lini?
 
Nyie mnasambaza ujuzi ( elimu?) ndio mnaofaa katika Tanzania ya leo, wengine utafikiri waganga wa kienyeji wanakufa na ujuzi wao kwa tamaa tuu ya kumiliki soko la ajira hiyo na matokeo yake wanaishia kunywa gongo na viroba.
 
Nyie mnasambaza ujuzi ( elimu?) ndio mnaofaa katika Tanzania ya leo, wengine utafikiri waganga wa kienyeji wanakufa na ujuzi wao kwa tamaa tuu ya kumiliki soko la ajira hiyo na matokeo yake wanaishia kunywa gongo na viroba.
Nashukuru ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…