MWANAJAMIA
Member
- Oct 21, 2016
- 47
- 45
KWA SASA HII NI KWA WALIO DAR ES SALAAMKwa Arusha mko wapi.
KIGAMBONI NI OFISINI. NA KAMA UNAVYO JUA HILI NI SOMO LINALOHUSU SANA VITENDO HIVYO KWA HUKU NG'AMBO VITENDO VITAKUWA VIKIFANYIKA MAENEO YA MWANANYAMALA PIA.Tatizo ni eneo yanapofanyika, yani kigamboni .....
bei pia sio mbaya hongera kijanaTunatoa mafunzo ya namna ya kufanya installation ya dish za aina zote na pia kufanya installation ya CCTV Camera.
mafunzo ni ya siku tano tano yaani
satelite dish installatuon siku tano
CCTV CAMERA Installation siku tano
jumla ni siku kumi.
Mafunzo haya yataanza rasmi tarehe 15 mwezi huu
Gharama za uchangiaji kwa mafunzo ni tsh 50000
ila kwa watu 20 wa mwanzo watapata punguzo na huvyo watalipia tsh 30000
Utajifunza kufunga dish za aina zote zunazo tumia KU na C BAND
Eneo ambako mafunzo haya yatafanyika ni Dar es salaam Kigamboni.
kwa walo tayari wanaweza kuwasiliana nasi Kwa ajili y maelezo zaidi kupitia
0622001223
0659505081
baadhi ya vijana ambao wamepitia kwetu kwa sasa wanafanya vizuri sana mtaani. Na hizi ni baadhi ya picha zao wakiwa kwenye site.
KARIBUNI SANA

Sisi tuliombali mfano morogoro mnatusaidiaje maana tunashida na hiyo skillTunashukuru tumemaliza salama baada ya wiki 2 tunaanza tena mafunzo kwa wanaohitaji tuwasiliane mapema na cd zinauzwa shilingi 10000 kwa mawasiliano zaidi piga namba 0622001223
Kwa waliombali na Dar jiandaeni mkifika 10 tutakujaSisi tuliombali mfano morogoro mnatusaidiaje maana tunashida na hiyo skill
cd za mafunzo ya jinsi ya kufunga dish na cctvCd za nn hizo kaka na pia hayo mafunzo yanafanyika mda gan na ni kila siku au
Tarehe 16 mwezi huu tunaanza tena mafunzo ila this tym tutapokea wanafunzi wachache ila kutakua na mgawanyiko kuna watakao soma kwa pamoja muda utakua kuanzia saa 4 asubuhi na atakaejifunza kwa muda wake. Watakao jifunza kwa pamoja ada ni 30000/= kwa atakaejifunza pekee yake ada ni 50000/= kwa darasa la pamoja nafasi ni 20 tu kwa anaehitaji tuwasiliane kupitia namba 0622001223
Samahani kwa hilo liliojitokeza ila juzi ckuwa mjini nilikua mkoani ila cmu yng inapatikana piga ss ivi utanipataNdugu Twaleeb juzi nimekupigia kama mara 7 hivi tena kwa kupose kwa dk kama 15 hivi ila la kushangaza simu naambiwa iko bize mpaka nimekuona mtu wa ajabu, umeseti simu kwa kusudi?