Pata maarifa ya kazi hapo ulipo

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Waungwana hamjambo!

Habari njema kwako wewe unayesoma hapa ni kwamba kuna utaratibu maalumu kwa ajili ya kujifunza maarifa ya kazi mbali mbali hapo ulipo. Huitaji kusafiri kwenda kituo cha mafunzo, popote ulipo utajifunza na mafanikio utayapata hapo ulipo.

Mpango huu unaratibiwa na J & B Enterprises kwa njia ya masafa. Unachotakiwa kuwa nacho ni simu pamoja na e-mail address.
Haijalishi una kiwango gani cha elimu, elimu iliyo kuu ni kujua kusoma na kuandika. Uwe tayari kufanya yale unayoelekezwa na wakufunzi mahili toka J&B Enterprises. Kipimo cha ufanisi wa program hii ni ndani ya miezi sita baada ya kujisajili na mafunzo haya.

Tuma e-mail kwa jnb14enterprises@gmail.com ili upate maelekezo kwa kina na kutumiwa fomu ya kujiunga na program hii.

ZINGATIA
Elimu haiwezi kukupatia kazi ya kufanya, maarifa ndiyo njia pekee ya kukutoa pale ulipo na kukupeleka kwenye hali bora.
 
Naomba kusiwe na tuition fee, hali yenyewe inatisha sana.
Hakuna tuition fee; ukishatutumia e-mail utapatiwa maelekezo ya nini cha kufanya ili ufikie malengo tutakayokuwa tumekubaliana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom