Tigo 270
Airtel 130
MPESA 170 tu....
Na logbook zake
0712191251
waelekez wenzio ulipochukua bure nao waende ... ht mm pia nielekze nijue ni wap
tena sio lak sita tu had lk nane .... ht leo kuna wanaouza kwa bei hyo
Nenda ofisi za Vodacom, tigo au airtel ukiwa na Tin Number, leseni halali ya biashara, kitambulisho Chochote chenye picha yako, picha passport size 3 ..........Mimi nipo Iringa nimepata hivyo vyote free.....tigo kidogo kunaucheleweshaji...
nataman sana nikusaidie lkn ipo chini boss tgo zipo juu sana till zake
mkuu ya voda fanya 120,tufanye biashara
Sielewi kwa nini hizi laini zinauzwa wakati unawafanyia kazi yao as partner