Pata Kiwanja Kizuri Bunju B Block 13

SolarPower

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
223
27
Wakuu,

Habari za leo? Kwa mtu ambaye anahitaji kiwanja Bunju B naomba tuwasiliane. Kiwanja ninachokiuza kiko Block 13 njia ya Kwenda Mabwe Pande. Umbali ni kilomita 2.5 toka barabara kuu iendayo Bagamoyo mkono wa kushoto kama unatoka Dar es Salaam. Bei ni shilingi milioni 25. Ukubwa wa kiwanja ni mita za mraba 1735. Simu yangu ni 0654 467758. Kina hati. Ni sehemu ya viwanja 20,000 vilivyopimwa na wizara husika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom