Pata juice ya tikiti buree

shatisuruali

JF-Expert Member
Jul 28, 2016
893
2,659
Kwa nini mumfanyie hivi jamani mwenzenu..?

dukani.JPG
 
Jamaa alkuwa mchoyo sana ndo mana tukamfanyia uhun
Acha ujinga,umewahi kujaribu kwenda supermarket ukafanya huo uhuni ukabaki salama,watu wengine mnajitafutia matatizo tu ambayo mnakua mmesahau mlifanyaga nini,ndomaana kuna watu mnapata matatizo hata ya upofu yasiyokua na chanzo kinachoeleweka,watu wanabaki wanalaumu kua kwanini knapata majanga kama hayo,kumbe kuna vitu vibaya mlivyofanya kipindi cha nyuma,umenikera sana.
 
Mbona nimesoma dua flan zimeandikwa hapo?? Msomi wa hayo maandiko atudadavulie jamani. Au ni miye tu nimeona ka nabiihi?
 
Acha ujinga,umewahi kujaribu kwenda supermarket ukafanya huo uhuni ukabaki salama,watu wengine mnajitafutia matatizo tu ambayo mnakua mmesahau mlifanyaga nini,ndomaana kuna watu mnapata matatizo hata ya upofu yasiyokua na chanzo kinachoeleweka,watu wanabaki wanalaumu kua kwanini knapata majanga kama hayo,kumbe kuna vitu vibaya mlivyofanya kipindi cha nyuma,umenikera sana.
Punguz jazba mkuu
 
Back
Top Bottom