Pata Jezi za msimu mpya

Pata Jezi za msimu mpya

Snowden E

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,703
Reaction score
3,011
FC Buyern munchen
Arsenal
Liverpool
FC Barcelona
Na nyingine kibao zote zikiwa ni original.

Nauza kwa Jumla na Rejareja

Jumla Tsh 18,000/= kuanzia 5pcs

Rejareja Tsh 22,000/=
IMG-20230611-WA0004.jpg

Simu 0622882036
Duka lipo Kariakoo Mtaa wa Kongo karibu na Big Bon mkabala na NMB Congo Branch.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Samahani mkuu, hizo jezi original mbona huko Ulaya kwenye website za timu zinafika Hadi laki 2 kwa pesa yetu hii?
Sasa nyie mnafanyaje Hadi mnauza 18,000.?
Au mnanunua nyingi mnapewa discount?
Ukweli ni kwamba...

Sababu ni
1. Toleo namba
2. Kodi
3. Discount

Sisi tunachukua toleo namba 2, na kodi siyo kubwa sana.
Then tunauza kwa Jumla, ila jezi hiii ukiikuta mtaani utauziwa Tsh 35,000/= na mkoani bei inakuwa juu zaidi.

Toleo namba moja, wabongo wengi hawazimudu kwa gharama.

Mnachouza nyie wala sio toleo namba 2. Ni copy za kichina.
 
Samahani mkuu, hizo jezi original mbona huko Ulaya kwenye website za timu zinafika Hadi laki 2 kwa pesa yetu hii?
Sasa nyie mnafanyaje Hadi mnauza 18,000.?
Au mnanunua nyingi mnapewa discount?
Sio vizuri kumkejeli mwenzako kwenye biashara yake zinaweza zisiwe original yaan first class lakin zina ubora tofauti na za 7000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom