View attachment 3512418
Ni huduma muhimu inayopatikana kwa gharama nafuu mno. Bulk sms inakufaa sana wewe mfanyabiashara, Kampuni/ Taasisi hata mtu binafsi.
Gharama zetu ni kuanzia shilingi 9 hadi shilingi 15 kwa kila msg. Kwetu sisi mteja atawekewa mfumo wa Bulk sms buree pamoja na training ya kiwango cha kuridhisha + support ya 24/7.
Tupo Sinza Madukani, jengo la Emirates 3rd floor.
Tupige, 0795790411