Zipo kiongozi pitia pdf file hapo juuHivi kipi hupelekea wafanyabiashara ya mtandaoni Tanzania mnaogopa kuweka bei?
Pdf zako hazifunguki, hivi ukiweka bei kwenye kila godoro kuna shida?
Magodoro ya kichina vitanda kutoka loliondo mkata tandale kilwa vingine vya zege kama huku arusha atutaki ujinga vitanda vya zege.weka bei uwezi lalia na mkeo.mbaya zaidi unatumia TECNO BILA UWOGA HIVI WEWE NI UNA MOYO GANI MPAKA UTUMIE TECNO KTK MATANGAZOHabari wanajamvi...?
kampuni ya CHANG QING company LTD, inachukua fursa ya kuwakaribisha wateja wote muweze kujipatia magodoro bora kabisa kwa gharama nzuri yenye unafuu na hii ni kwa watu wote mlio ndani ya Tanzania na nnje vile vile kwa wale mnaohitaji kuwa maagent wa godoro zetu huu ni wakati wenu tunawakaribisha sana bila kusahau wale wa reje reja : kwa mawadiliano zaidi piga 0692449416
AINA YA GODORO TULIZO NAZO
1.Oceankiss
2.Okle
3.Relax
4.Fahari
1.OCEANKISS
hili ni godoro lenye high density yaani ujazo wa kiwango cha juu zaidi kiujazo na ubora na denisity yake ni 23density
2.OKLE
hili nalo ni godoro lenye high density yaani ujazo wa kiwango cha juu zaidi kiujazo na ubora na denisity yake ni 23density
3.RELAX
hili ni godoro lenye ubora wa kiwango cha pili yaani ujazo wa kiwango chake kiujazo na ubora denisity yake ni 20density
4.FAHARI
hili ni godoro la standard kabisa na ujazo wake kiubora ni 16density
5.SPRING MATTRESS
hizi ni zile godoro za mneso mneso
hivyo kwa wale wateja wanaopenda godoro za mneso yaani spring mattress zipo
VITU VYA ZIADA KUFAHAMU KWA MTEJA
kupitia majina ya brand za godoro zetu nilizo orodhesha hapo juu....godoro zimejigawa sehemu tano
1.WOC
2.WC
3.TX
4.VQ
5.MEDICAL MATTRESS
1.WOC
ni godoro lisilo na cover kwa lugha nyeoesi godoro lililo uchi
2.WC
hili ni godoro lenye vover
3.TX
hili ni godoro lenye upindo pembeni yaani linakuwa limenkshiwa kwa upimdo pembe zote za godoro
4.VQ
hil ni godoro lililozungukwa na uoindo pembeni vile vile linakuwa limenkshiwa katikati kwa kuwekwa vyumba vyumba mfano wa kashata
5.MEDUCAL MATTRESS
kwa wale wenye matatizo ya mgongo hili ndiyo linafaa na hutumika kama dawa ya mgingo wako..
bila kusahau kwa wale mafundi sofa pia godoro zenu zipo
wote mnakaribishwa karibuni sana
Mawasiliano piga 0692449416
View attachment 1466972View attachment 1466973View attachment 1466974View attachment 1466976View attachment 1466977
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
PRICES
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1467877View attachment 1467878View attachment 1467879
View attachment 1467942View attachment 1467943View attachment 1467944
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]wakuu karibuni sana mjipatie magodoro
PRICES
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums mobile app
... Asante kwa taarifa ndugu. Nna swali kwako, je Hilo godoro la orthopedic lina density gani???Habari wanajamvi...?