Sample hii hapa
Asante..nitaboresha tangazo soon. Hawa wamekaangwa wakiwa wabichi bado. Paketi kama hiyo ni sh. 1200 tu. Vipimo vingine kuanzia robo, mpaka kilogram ni kutegemea na bei na maelewano yetu . Zimekaangwa kwa mafuta ya kawaida ya korie
Nko ubungo mkuu
Bado una uwezo wa kunyambua bei kufuata kg kwa kuwa lazima ufahamu umetumia gharama kiasi gani kwa kg na hiyo ndio inayokupelekea kupata bei ya hiyo parkingAsante..nitaboresha tangazo soon. Hawa wamekaangwa wakiwa wabichi bado. Paketi kama hiyo ni sh. 1200 tu. Vipimo vingine kuanzia robo, mpaka kilogram ni kutegemea na bei na maelewano yetu . Zimekaangwa kwa mafuta ya kawaida ya korie
0755865251 karibu
Yes..unaletewa ulipo mkuu kulingana na kiasi unachochukua
Yes..unaletewa ulipo mkuu kulingana na kiasi unachochukua[/QUOTE
Ni kwa kiasi gani unaweza kumpelekea mteja alipo ? Mimi niko Mbezi kwa Msuguli