Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Vodacom Wananipa GB 5 Kwa 2000 For One Month.kuna jamaa alileta uzi wake jana ana huduma ya 4gb kwa elfu tatu.Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu. jana ameniunganisha imekubali wakuu .ni kweli nunueni
nilimtumia namba japo sijamlipa .nitalipa baadae kidogo
kausha nitalipaUmlipe kwel.
hongeraVodacom Wananipa GB 5 Kwa 2000 For One Month.
Hii unaipataje???Vodacom Wananipa GB 5 Kwa 2000 For One Month.
[emoji53][emoji53][emoji53]Hii unaipataje???
Mdau Hiyo ya voda wanakuunganishaje?Vodacom Wananipa GB 5 Kwa 2000 For One Month.
vodacomni mtandao gani miss natafuta. kama ni tigo na mi nahitaji. airtel pananishinda sasa kila wakati natumiwa sms "umetumia 90% ya bando yako ya intaneti" na hapo muda wa bando kuisha bado.
Nataka nikulipie hii!Hii unaipataje???
Monaco unataka kunilipia bando la buku mbili?Nataka nikulipie hii!