Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,233
Pastor Chris ana TV inaonekana ulimwengu mzima hii habari ishaifikia dunia nzimaKuna watu hudhani kuwa wana akili kuliko Rais Magufuli, ila Magufuli ana akili nyingi kuliko vilaza wengi Tanzania!
Magufuli ali challenge ufanisi wa vipimo vya Covid-19, lakini vilaza wengi wakaibuka kumkosoa Kama vile alikuwa ame draw conclusion kwenye issue.
Sent using Jamii Forums mobile app
source tafadharKatika hili, Magufuli kachukua point sana. Nimemsikia hata Trump anamsifia.
Unawajua watu kama akina Tb Joshua , Chris’s wakisema “wise man “ wanamaanisha nini? Hawa ni watu wa “mtandao” wa giza na wakikuita wise man maana yake upo kwenye mtandao wao!Sikiliza mwenyewe
Amemtaja kama 'a smart guy' na 'a wise president'
Amemaliza kwa kusema "is time to think"
Akili za bavichwa hizo horror comment everUnawajua watu kama akina Tb Joshua , Chris’s wakisema “wise man “ wanamaanisha nini? Hawa ni watu wa “mtandao” wa giza na wakikuita wise man manake upo kwenye mtandao wao!
😃😃😃bangi mbaya sanaUnawajua watu kama akina Tb Joshua , Chris’s wakisema “wise man “ wanamaanisha nini? Hawa ni watu wa “mtandao” wa giza na wakikuita wise man manake upo kwenye mtandao wao!
Tomatosource tafadhar
Wise man hata dictionary ya kawaida umeshindwa angalia mpaka upotoshe ?Unawajua watu kama akina Tb Joshua , Chris’s wakisema “wise man “ wanamaanisha nini? Hawa ni watu wa “mtandao” wa giza na wakikuita wise man manake upo kwenye mtandao wao!