Pastor Chris wa Nigeria asema "Magufuli is a wise president" kwa kugundua udhaifu wa vipimo vya Corona

Kuna watu hudhani kuwa wana akili kuliko Rais Magufuli, ila Magufuli ana akili nyingi kuliko vilaza wengi Tanzania!

Magufuli ali challenge ufanisi wa vipimo vya Covid-19, lakini vilaza wengi wakaibuka kumkosoa Kama vile alikuwa ame draw conclusion kwenye issue.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pastor Chris ana TV inaonekana ulimwengu mzima hii habari ishaifikia dunia nzima
 
.
FB_IMG_15887785827744689.jpg
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom