Past papers mock exams

Past papers mock exams

kanjahni

Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
42
Reaction score
14
Habar wadau nahitaji msaada wa kupata past papers necta, mock(dsm, north zone, southern highland zone) , papers za Gcas, Na necta exams za masomo ya BAM, additional mathematics, basic math, na bookkeeping na accounts.

Msaada please mwenye kuwa nazo ama atakaenisaidia mahali nnaweza kuzipata nitashkuru sana nipo kwenye programme ya utunzi wa vitabu vya masomo tajwa mawasiliano yangu ni 0716 866 241. ahsanteni sana
 
Ila na past papers za advanced level necta mwenye website au tovuti zinapopatikana atilike basiii
 
Habar wadau nahitaji msaada wa kupata past papers necta, mock(dsm, north zone, southern highland zone) , papers za Gcas, Na necta exams za masomo ya BAM, additional mathematics, basic math, na bookkeeping na accounts.

Msaada please mwenye kuwa nazo ama atakaenisaidia mahali nnaweza kuzipata nitashkuru sana nipo kwenye programme ya utunzi wa vitabu vya masomo tajwa mawasiliano yangu ni 0716 866 241. ahsanteni sana
Kwenye tHL app kuna paspapers nyingi sana na Quizzes nyingi.
Jinsi ya ku-install tHL app
---------------------------
1.Online version Nenda play store/window store SERACH tHL kisha install. 2. OFFLINE version Nenda www.thlappstore.co.tz kisha download. Kwenye hiyo site video ya installation ipo hapo (Fuata hiyo video STEP BY STEP). 3. Kwa computer download hapa tHL Web Browser na maelezo ya kuinstall kwenye computer haya hapa instructions .

Maelekezo zaidi
---------------
Contacts Office: 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038 - Upewe maelekezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom