Password kwenye laptop

Delacruzito

Member
Aug 5, 2019
99
92
Wakuu naombeni msaada mwenye anajua jinsi ya kutoa password kwenye laptop anipe ufafanuzi nafanyaje hili
 
Hivi vitu nimefanya sana enzi hizo bado nasoma soma pale uchuo, ila saivi maisha yamenichapa na PC yenyewe sina. Watu tulikiwa tunaweka kila aina ya password.

Swala lako dogo sana in case ni password ya Windows, I mean ukiwasha inatokea, na ikisleep ikiamka inatokea. Njia nyepesi stay home, bonyenza windows, type password/remove/change password. Yatakuja maneno/options mbalimbali za settings kuhusu password.

Chagua moja itakuwa inakupeleka kabisa unaona inajiendesha, na we fata inavyojiendesha especially pale itakapoleta option ya Administrator, kuna change password, remove password na options zingine mbili 3. We chagua remove utatia password ya zamani utatia tena utaconfirm. Over.

Ukiona ngumu google, au nenda YouTube.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom