sa Flora mawasiliano na mzee wa Hummer alikuwa
anayafanyia wapi kama sim walikua wanatumia moja..........
baada ya huu mtengano sijui nani kabaki na simu sasa
Halafu weweeeeeesa Flora mawasiliano na mzee wa Hummer alikuwa
anayafanyia wapi kama sim walikua wanatumia moja..........
baada ya huu mtengano sijui nani kabaki na simu sasa
Out of topic naomba msaada nataka kubadilisha user name yangu ya JF nifanyeje?
Hivi kama tunakuwa kwenye mahusiano inamaana tuna aminiana lakini kuna baadhi yetu huwa tunakuwa na jambo hili la Password kwenye email zetu simu zetu!
Kwanini hatuziachi wazi?
Mbona wenzetu wanawake wapo wazi sana katika hili?
Sisi wanaume nini kinatusababisha kuwa na Password kwenye simu?
Nilimsikiliza Mbasha katika kipindi sha Spora show alisema Nanukuu"PASSWORD ZETU NIMOJA SIMU TUNATUMIA SIMU MOJA"
Je wewe katika mahusiano yako unaweza?
Au tuseme Technology ndo inatukwaza!
Siku zote watu kwenye interview wanaficha ukweli. Umeuliza maswali ya msingi sana. Eti simu moja. Mmoja akisafiri ilikuwa inabaki na nani?
Mimi bebi wangu, piko wa moyo wangu Matola kaweka. Password, ila i dont fret at all! Sitishiki nayo kabisaaa!
WHY? BCAUSE I TRUST HIM, AND I TRUST ME THAT HE WAS NOT A MISTAKE! Mambo mengine private kama balance za Mpesa, na bank kwa wale wa mobile banking, maugomvi ya kifamilia, bosi anakipa za uso, your partner doesnt have to know!
Naona yamekolea...
Ndo manake! Mtu chake atiii!Naona yamekolea...