Danpol JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 5,747 Reaction score 9,022 Mar 3, 2017 #1 wakuu, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nahitaji hiyo gari, kwa mwenye nayo Namba D WhatsApp/call 0622070789
wakuu, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nahitaji hiyo gari, kwa mwenye nayo Namba D WhatsApp/call 0622070789
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,951 Reaction score 134,418 Mar 3, 2017 #2 Danpol said: wakuu, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nahitaji hiyo gari, kwa mwenye nayo Namba D WhatsApp/call 0622070789 Click to expand... Ipo ya rangi ya silver,iko mwananyama Ova
Danpol said: wakuu, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nahitaji hiyo gari, kwa mwenye nayo Namba D WhatsApp/call 0622070789 Click to expand... Ipo ya rangi ya silver,iko mwananyama Ova
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,370 Reaction score 13,422 Mar 3, 2017 #3 pistoni 3 vichomi hivyo mkuu,tafuta ya pistoni 4
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,481 Reaction score 8,589 Mar 3, 2017 #4 mi ninayo piston 3.. namba dbd.. kilometre 46,000 naiuza 6m haishuki hata mia.. kama una bei pungufu naomba hata husini pm
mi ninayo piston 3.. namba dbd.. kilometre 46,000 naiuza 6m haishuki hata mia.. kama una bei pungufu naomba hata husini pm
Danpol JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 5,747 Reaction score 9,022 Mar 5, 2017 Thread starter #5 @invincible au mod yeyote , futen hii, gari imepatikana tayari