starson85 Senior Member Joined Jan 19, 2015 Posts 146 Reaction score 14 Feb 24, 2015 #1 Kama unahitaji passo zipo mbili rangi ya siliva ya 2005 km 46750 Haijagungwa namba 0656 43 66 62 Nicheki uone na picha
Kama unahitaji passo zipo mbili rangi ya siliva ya 2005 km 46750 Haijagungwa namba 0656 43 66 62 Nicheki uone na picha
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Feb 24, 2015 #2 starson85 said: Kama unahitaji passo zipo mbili rangi ya siliva ya 2005 km 46750 Haijagungwa namba 0656 43 66 62 Nicheki uone na picha Click to expand... Sijaelewa........haijafungwa namba......ni kwamba namba ipo ila haijafungwa.......au hata ushuru haijalipiwa........?...........
starson85 said: Kama unahitaji passo zipo mbili rangi ya siliva ya 2005 km 46750 Haijagungwa namba 0656 43 66 62 Nicheki uone na picha Click to expand... Sijaelewa........haijafungwa namba......ni kwamba namba ipo ila haijafungwa.......au hata ushuru haijalipiwa........?...........
S shaurimbaya JF-Expert Member Joined Oct 3, 2013 Posts 1,915 Reaction score 2,339 Feb 24, 2015 #3 Preta said: Sijaelewa........haijafungwa namba......ni kwamba namba ipo ila haijafungwa.......au hata ushuru haijalipiwa........?........... Click to expand... anamaanisha passo yake haijatembea bongo. bado haijasajiliwa kabisa nchini
Preta said: Sijaelewa........haijafungwa namba......ni kwamba namba ipo ila haijafungwa.......au hata ushuru haijalipiwa........?........... Click to expand... anamaanisha passo yake haijatembea bongo. bado haijasajiliwa kabisa nchini
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Feb 24, 2015 #4 shaurimbaya said: anamaanisha passo yake haijatembea bongo. bado haijasajiliwa kabisa nchini Click to expand... Sasa nikisajili itakuwa shngapi..........?
shaurimbaya said: anamaanisha passo yake haijatembea bongo. bado haijasajiliwa kabisa nchini Click to expand... Sasa nikisajili itakuwa shngapi..........?
TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,649 Reaction score 1,128 Feb 24, 2015 #5 starson85 said: Kama unahitaji passo zipo mbili rangi ya siliva ya 2005 km 46750 Haijagungwa namba 0656 43 66 62 Nicheki uone na picha Click to expand... Kwahiyo umeona ukiweka picha hapa bando lako litaisha? Ok kama nihivyo mi nsha kucheki nionyeshe basi picha Umesema zipo mbili zenye km zinazofanana au?
starson85 said: Kama unahitaji passo zipo mbili rangi ya siliva ya 2005 km 46750 Haijagungwa namba 0656 43 66 62 Nicheki uone na picha Click to expand... Kwahiyo umeona ukiweka picha hapa bando lako litaisha? Ok kama nihivyo mi nsha kucheki nionyeshe basi picha Umesema zipo mbili zenye km zinazofanana au?