Kama unahitaji passo zipo mbili rangi ya siliva ya 2005 km 46750
Haijagungwa namba
0656 43 66 62
Nicheki uone na picha
Sijaelewa........haijafungwa namba......ni kwamba namba ipo ila haijafungwa.......au hata ushuru haijalipiwa........?...........
anamaanisha passo yake haijatembea bongo. bado haijasajiliwa kabisa nchini
Kama unahitaji passo zipo mbili rangi ya siliva ya 2005 km 46750
Haijagungwa namba
0656 43 66 62
Nicheki uone na picha