Passive Income

Either ajenge nyumba au awekeze kwenye T bonds za miaka 25
 
Either ajenge nyumba au awekeze kwenye T bonds za miaka 25

Let's say ana 100M kwenye account yake nadhani kujenga nyumba ni sawa na kufukia 100m. Of course after 25 years nyumba ile haitakua tena na thamani ya 100M ila naona kama ni vyema kuweka atleast kwenye T bonds za 10 years or 20 years.
 
Nunua solana ,cardano,eth,bnb Kisha kaa miaka miwili
 
Let's say ana 100M kwenye account yake nadhani kujenga nyumba ni sawa na kufukia 100m. Of course after 25 years nyumba ile haitakua tena na thamani ya 100M ila naona kama ni vyema kuweka atleast kwenye T bonds za 10 years or 20 years.

Unadhani kwa Dar ukiwa na 100M from kununua kiwanja to kujenga utapata nyumba ya kodi kias gani kwa mwezi ?
 
Bora anunue hatifungani, let's say kwa kila shilingi 100 akinunua kwa face value, aki bid akipata kwa shilingi 97 au 98 ina maana katika milioni 100 atalipa milioni 97 au 98, kwa miaka 15 au 20 atapata faida kubwa sana, kwa interest ya 16% maana yake kila mwaka atapata shilingi milioni 16 ( milioni 8 kila baada ya miezi 6 ) wakati huo huo bado bond zake zinaendelea ku mature.
 
Unadhani kwa Dar ukiwa na 100M from kununua kiwanja to kujenga utapata nyumba ya kodi kias gani kwa mwezi ?

Na lini uta break even cost/proft ratio? Na pia si kila investment inafanyika dar. Asante kwa ushauri pia.
 

Asante kwa ushauri nilikua nawaza pia. What about money value/ inflation?
 
Iwapo anapenda kuearn pesa kwenye hiyo 100m na bado kuweza kutoa capital muda wowote atapoihitaji basi UTT AMIS Liquid Fund itamfaa. Ina interest ya 11% kwa mwaka on average hivyo katika mwaka wa kwanza atapata 11m kwenye pesa yake ambayo ni karibu 1m kwa mwezi.

Uzuri zaidi kwa mfuko huo unaweza kutoa pesa yako muda wowote hivyo akija kupata biashara nyingine au dharura anaweza kutoa pesa yake bila makato yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…