Pasipoti ya Afrika yote kuzinduliwa Rwanda

Pasipoti ya Afrika yote kuzinduliwa Rwanda

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,570
Reaction score
53,584
dlamini.jpg


African Union chief Nkosazana Dlamini-Zuma. She termed the move a “steady step toward the objective of creating a strong, prosperous and integrated Africa.” PHOTO | AFP

By Annie Njanja

Posted Wednesday, June 22 2016 at 10:33
IN SUMMARY

  • The e-passport, to be launched during the African Union’s 27th Summit which kicks off in Rwanda from July 10, is part of efforts to boost intra-regional trade.
The African Union (AU) is set to launch an electronic passport (e-passport) in the next two weeks in part of measures to boost movement of people across the continent.

The e-passport, to be launched during the African Union’s 27th Summit which kicks off in Rwanda from July 10, is part of efforts to boost intra-regional trade.

The AU, however, says member countries will have to adopt and ratify necessary protocols and laws to prepare the way for use of the passport.

Heads of state and government, ministers of foreign affairs and the permanent representatives of AU member states based at the headquarters in Addis Ababa will be the first group to get the e-passports during the summit.

Dr Nkosazana Dlamini Zuma, the chairperson of the African Union Commission (AUC), termed the move a “steady step toward the objective of creating a strong, prosperous and integrated Africa.”

The Rwanda summit will talk about Africa’s integration and the introduction of a common passport.

Countries like the Seychelles, Mauritius, Rwanda, and Ghana have taken the lead in ensuring easier intra-Africa travel by relaxing visa restrictions and in some cases lifting visa requirements altogether.

The East Africa Community in March launched an the document. A phase out programme for the current East African and national passports will go on for two years staring January next year.

AU plans e-passport to hasten movement of people and trade
 
Naona mambo yanaanza kurejea. Lakini kila taifa lazima litafakari kabla ya kujiunga na mfumo huo wa pasipoti moja. Maana kuna nchi lazima zitaumia hapo na nyingine kunufaika.

Hapa sio issue na nchi kunufaika au kuingia hasara, swali la msingi ni jinsi wewe binafsi utanufaika kwa kuweza kutamba Afrika yote bila wasiwasi. Jinsi utaweze kuuza bidhaa zako kuanzia Misri hadi Afrika Kusini. Lakini ukikaa hapo na kulalamika, utabaki ukiwapisha wenzio.
 
Hadi sasa hivi pasipoti ya Tanzania ina nguvu katika bara la Afrika, yaani hatuna makando kando sisi. Tunaaminika, na ndio maana majirani watumia pasi ya kitanzania ili kufanikisha mambo yao. Na isitoshe sidhani kama kuna nchi ya kiafrika ambayo tunahitaji Visa ya kusafiria, kama zipo ni mbili au tatu. Binafsi sitanufaika tofauti na sasa, zaidi ya kunipotezea alama ya utaifa wangu.

Ni Nchi jirani ipi raia wake wanatumia passport ya Tanzania? Mbona Nchi nyingi tu za Africa mtanzania anahitaji visa? Sidhani kama utafiti wako ni sahihi
 
Tumechelewa sana kufikia maamuzi Na utekelezaji wa jambo hili. Litasaidia sana kukuza uchumi wa nchi zetu kwani ni fursa pana zaidi ya peoples movement.
Wafanya biashara,wachangamkie sasa jambo hili Na waende maeneo mbalimbali ya Africa kutafuta malighafi,bidhaa Na Masoko.
Big up Africa
 
Hadi sasa hivi pasipoti ya Tanzania ina nguvu katika bara la Afrika, yaani hatuna makando kando sisi. Tunaaminika, na ndio maana majirani watumia pasi ya kitanzania ili kufanikisha mambo yao. Na isitoshe sidhani kama kuna nchi ya kiafrika ambayo tunahitaji Visa ya kusafiria, kama zipo ni mbili au tatu. Binafsi sitanufaika tofauti na sasa, zaidi ya kunipotezea alama ya utaifa wangu.

Kabla hajaja mzungu na kuchora chora mipaka, hapakuwepo na Tanzania. Waafrika hawakuonana kwa misingi ya hiyo mipaka kama ilivyo leo. Mzungu ndiye kaja na kuchora chora mipaka na kuwaambia upande huu mtaitwa Wakenya, upande ule mtafahamika kama Waganda. Sasa leo hii hata baada ya elimu, tunaendelea kubanana kwa misingi ya hiyo mipaka.

Wewe binafsi kama huoni faida ya kutoka nje na kufanya biashara Afrika, wapishe wenzio. Ukienda mipakani utashangaa sana kuna Watanzania wenzio wanaofanya biashara zao nje ya nchi.
 
Sasa changamoto pekee tuliyonayo Afrika ni kumaliza civil wars zote na vikundi vya misutuni na ugaidi ili tuwe na Afrika imara kujenga uchumi wake.. Tuna soko la kutosha, tuna malighafi za kutosha..
 
Back
Top Bottom